Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haram km EcuadorHaram au halal tuanzie hapo
Dah we mdada una nitukana mbona 🙄🤔, wale ni vifaranga tu🤣🤣.😅😅😅
Yaani tangu utoboe tunakoma
Leo hujatupia kuku uliokula
Mbona Kuna maarufu Wengine hawana Pesa imekaeje?[emoji28][emoji28][emoji28] sema kwa uchawa wa jamaa wala sishangai unaeza kuta hata kaongwa na mwanamke iyo pesa.
Siku zote ukishakuwa maarufu kupata pesa ni rahisi sana, tena rahisi mnoooo.
Leta ya unga hiiWewe hujui deals haramu? Kauze/kabebe unga utatajirika haraka sana, kaibe benki kuna mabilioni kule pigo moja tu ushatoka,nenda mbugani Kaue tembo utatoka haraka sana.
Hili Dili kuna Mama alinipaga Mchongo nikamtolea nje, kikubwa uwe bingwa wa kukariri vifungu vya biblia tu na kuvitolea ufafanuzi na uweze kua na uwezo wa kuwachota watu akili waweze kukusikiliza kwa uaminifu kwisha habari unakua Pastor mmoja mzuri haraka sana, kanisa unapewa, gari unapewa wahudumu unapewa nyumba unapewa kazi kwako kuuza maneno ya biblia alafu mnaokota Sadaka kwenye Lipa Namba na akaunti za Bank maisha yanaendelea ikinoga sana tunawauzia mpaka unga wa Sembe kwa bei ya juu unakua unga wa upako na mazombi watanunua,Fungua kanisa.
DuhDah we mdada una nitukana mbona 🙄🤔, wale ni vifaranga tu🤣🤣.
👉Hapa penyewe nawaza nita kula nini jioni🤒
Ulifanya kilimo cha zao gani na wapi? Na ulifanya kwa ukubwa gani?Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko
Wale vifaranga tu😂🤣, jeuri ya kununua kuku natoa wapi😂🤣🤒Duh
Yaani wale ni vifaranga ?🤔
Acha kutamani vitu vikubwa katika level ya uharamu.Leta ya unga hii
Sio kirahisi hivyo.Leta ya unga hii
Ushasema ni Siri ... Ukiambiwa sio Siri Tena....kaza MoyoHiyo siri ndo tujuzane live bila chenga
Haelewii 😂🤣, ana hisi Zina kuja Kama upepo tu😁.Sio kirahisi hivyo.