sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki,
Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu
Ni label kubwa sana, hapo Kenya WCB inatikisa vilivyo
Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa mkurugenzi wa WCB kuipokea ila karibuni ataona kwamba amepigwa