sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yani hapa nilipo leo siku nzimba naitafuta shilingi 200 iliyodondoka uvunguni 😂😂.Hebu tueleze, wewe hapo ulipo una deal la kiasi gani? Au ndio kutwa kucha unafatilia mambo ya wenzako wakati wewe huna mchongo kama "CHAWA".
Piga kazi, achana na kupeleleza jirani leo amekula nini.
Yani hapa nilipo leo siku nzimba naitafuta shilingi 200 iliyodondoka uvunguni 😂😂.
Nlichokuwa nasema tu ni kwamba WCB ni label kubwa mno, na huyo alietoa hicho kiasi kakitoa kwasababu anajua hilo na uhakika wa faida upo
Hahahhh hizo pesa za umma hazijafika wasafi wala clouds zimeishia kwa vigogo huko huko pale mnawaonea huyu jamaa me namkubali kinachofata ni chawa wake kumzalia mtoto wakike kama hongera.
tunataka milion 140 zetu KwanzaCEO wa WCB na Wasafi Media Diamond Platnumz amethibitisha kutia saini dili yenye thamani ya dola milioni 5 na kampuni ya Mziiki.
Dili hiyo ni kwa ajili ya kusambaza kazi za Wasanii walio chini ya usimamizi wa Lebo yake ya WCB Wasafi. Diamond anasimamia jumla ya Wasanii 5 – Rayvanny, Mbosso, Zuchu, Lavalava, Queen Darlin
Dili hii imetajwa kuwa thibitisho tosha ya jinsi muziki wa Bongo Flavor umekuwa na thamani kubwa katika bara la Afrika.
Uki calculate sawa na Bilion 11 za kibongoNi sawa na ngapi hii kwa hela yetu ya madafu
Kumbuka ili na wao wapate faida inabidi wa2 wanunue nyimbo, si kuskiza na view bure.View attachment 1747901
Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki,
Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu
Ni label kubwa sana, hapo Kenya WCB inatikisa vilivyo
Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa mkurugenzi wa WCB kuipokea ila karibuni ataona kwamba amepigwa
Yupo angalia vizuri upande aliokaa sallamSijamuona Vannyboy kwenye hyo hafla
Yap nimemuona chui mnyamaYupo angalia vizuri upande aliokaa sallam