Dili la bilioni 11.5 diamond naona kapigwa, ni ndogo kwa brand ya WCB

Ni nyingi kama wasanii wa WCB kushiriki urithi festival walilipwa 140 milion sasa bilioni 11 zinakuwaje ndogo mkuu.
 
Diamond mjanja, baada ya issue kufumuka kaona apate hilo deal ili isionekane pesa zake ni za umma, ila dogo ana pesa chafu kwa maisha ya kitanzania.
 
Sasa hutaki mwenzio apate faida?
 
Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa mkurugenzi wa WCB kuipokea ila karibuni ataona kwamba amepigwa
 
Hebu tupe mchanganuo yaani break down, unadhani ukubwa wa WCB unapaswa kuwa na thamani kiasi gani kifedha? net worth yao ni kiasi gani kwa vigezo vipi? ukiachilia hicho kigezo chako cha watu kukariri mashairi, embu tupe vigezo vya kifedha ili tujue amepigwa au la!
 
Hivi Kwin Dalin nae msanii. Bora awe replaced na yule Diwani wa Kigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…