Dili la bilioni 11.5 diamond naona kapigwa, ni ndogo kwa brand ya WCB

Mimi bado sijaelewa.
Hizo billioni 11 walizosema kwenye dili, ni pesa ambayo wasafi watalipwa au watawalipa hao wasambaji au ni gharama zitakazotumika kwenye kufanikisha hiyo kazi (Capital/Cost)?
 
Azikusanye wapi mzee wa magumashi huyo na misifa, on paper hajapewa hiyo hela, tena usikute kakopwa..
Ninacho kukubali siku zote habari za WCB,ndizo zina kuibua vip Cheed na Killy joint ep yao wanaachia lini kutoka Konde Gang?
 
Yes, ila nani mwingine hapa TZ anaweza pata deal la kiasi hicho?
 
Ni ndogo?
Ama kweli mwenye nacho huongezewa
 
Ni ndogo?
Ama kweli mwenye nacho huongezewa
Ni ndogo kwa asset value ya wcb tukiangalia present value yake kwa sasa katika future value yake baada ya miaka ya hapo mbele, ila unapoichukulia kwa mtu ambae hata hajawahi kushika milioni 10 anaona ni nyingi maana yeye mwenyewe tu assets zake unakuta hana hata gari
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€” Lakini kweli mkuu
 
Mbowe analia lia kulambwa Bil 2 tu. Na TRA
Na ni tajiri wa miaka yote,
Bil 11 mafi ya kuku.
Kampuni yenyewe MZiiki Sijui.
 
Watanzania buana haya mlipe wewe trillion hizo na Mimi nitakuja kusema ni ndogo sana na amepigwa parefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…