Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Taahira Ni FORBES wahi wamchafue diamond platinumz kwa kuapproximate net worth ndogo, hujui/hawajui kuwa diamond platinumz Ni Brand...?
 
Fact diamond platinumz Ni GENIUS Hilo hakuna ubishi Hawa wengine waache wapiganie makiki
 
Kusema lazima useme"JIKUBALI" haijalishi kadri gani so unajua Diamond platinumz imemuathiri kiasi gani...? DIAMOND PLATINUMZ Ni wathamani sana kuliko hiyo FORBES LOST NA SIO LIST
 
Fact sema huyo nae Ni zumbukuku
 
Tatizo sio show swala Ni distribution unajua Kama diamond platinumz ana platinumz mauzo kupitia universal group ko usibeze jitihada za wengine
 
Davido ni toto la mwaka 1992 bado balehe inalisumbua.

Hivi ushawahi kumsikia msanii kama Akon, Olamide, Don Jazzy wanabishana kwamba wanapesa saaana?
Point no kuwa Hana pesa au anazo , na sio balehe MTU MWENYE PESA LAZIMA kelele keep this in mind itakusaidia sana.
 
Card B Ni mdogo.. ?
 
Fact kaka
 
Kwa hiyo FORBES hawajui namna ya kupata taarifa za utajiri wake ila Google wanajua...so kwake Google ndio chanzo sahihi...wakati uki google kuhusu utajiri wake...hiyo Google inakurudisha kwa FORBES ahahahaha! Bongo ni zaidi ya Uijuavyo!
Sio lazima ikurudishe kwa Forbes sawa Kuna vyanzo mbalimbali kijana
 
Hao Niggas ni maHip hop na wala siyo matajiri sana kuliko wasanii wengine.

Hizo show offs ni tamaduni tu za Hip hop huko majuu ndio maana mpaka kina 6ix9nine wanafanya.

Ulishawahi kuona msanii wa RnB au msanii Mzungu anafanya huo utaahira???
Wapo wengi bhana to porojo hapa
 
Naona unaforce penalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…