Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Diamond ameanza kuwa kichaa kama Kanye West.

Kanye West alizoa hadi risiti za mali zake zote akapeleka forbes kuwathibitishia kuwa yeye ni billionnaire.

Mimi naamini tunatafuta pesa ili tutimize ndoto zetu, familia zetu na jamii inayotuzunguka.

Hii hulka ya sasa hivi watu kupambana kwa kila hali kutaka jamii iwaone kuwa wana hela sana na ni matajiri ni ya kiuwendawazimu kabisa.

Watu wakishajua una pesa nyingi, then what ?

You got money, then just live your life.

Why unaumia eti kwasababu Forbes wametaja kiasi ambacho hujaridhika, kwani wamekupora pesa?

Yaani ni sawa leo umkute Bakhresa anabishana na Forbes kwamba pesa walizomkadiria siyo zenyewe. Huu ni utaahira.
Taahira Ni FORBES wahi wamchafue diamond platinumz kwa kuapproximate net worth ndogo, hujui/hawajui kuwa diamond platinumz Ni Brand...?
 
Huyu jamaa anajua kutafuta hela kabla haja zindua album yake A boy from Tandale alingia mkataba Universal Music Group, Safari com na app moja hivi jina limenitoka kwa ajili tu ya kusimamia na kusambaza kazi zake na wasanii wake.

Leo hii kabla haja zindua album yake nyingine kishaingia mkataba na Ziiki na Warner kwa ajili ya kusambaza album yake mpya na wasanii wake.

Japo kuwa watu wanahate ila dogo yupo mbele ya muda,anajua nini anachokifanya.

Kuna wasanii wanazindua album mwaka huu lakini wameshindwa kufikiria kitu kama hichi ili wawe na kazi rahisi ya usambazaji wa album zao naona wengi wao bora liende.

Darrasa kipindi kile anaachia hit Songs yake ya Muziki mashabiki wa Kenya wakawa wanalalamika kazi yake hawaipati ITunes.
Fact diamond platinumz Ni GENIUS Hilo hakuna ubishi Hawa wengine waache wapiganie makiki
 
Jamaa huwa anafosi sana, mpaka kwenye interviews mara nalipwa mamilioni kila mwezi.

Mara nina pesa, hata wasanii wa Nigeria nawazidi as if kaulizwa.

Una pesa kwaajili ya matumizi yako, hata kama watu wakisema tofauti wewe pesa zako zinapungua au kuongezeka?

Huo ni uwendawazimu.

Kuna watu wana pesa lakini hawataki kabisa kelele kama hizi.
Kusema lazima useme"JIKUBALI" haijalishi kadri gani so unajua Diamond platinumz imemuathiri kiasi gani...? DIAMOND PLATINUMZ Ni wathamani sana kuliko hiyo FORBES LOST NA SIO LIST
 
Hakuna mwenye pesa asiepiga kelele, ndio maana lazima kuna watu watajua tu fulani pesa anayo, zinaweza kuwa kelele za mdomoni au vitendo, rejea Davido alipo mpa zawadi mwanae wa miaka 5, Gari la kifahari hii nayo ni kelele, hakuna tatizooo lolote mtu kutambia alichonacho
Fact sema huyo nae Ni zumbukuku
 
Managers au hizo record labels zinafanya kazi kama brokers.

Inatakiwa kazi zako ziuze ndio wapate chao.

Hawana kazi yoyote ya kupush msanii mbele, kazi yao kusimamia mauzo tu ( kama yakiwepo )

Sony walianza kufanya kazi na Rose Mhando, Kiba, Ommy Dimpoz.

Huyo Dianond alijipekeleka Universal matunda yako wapi ?

Vanessa Mdee ?

Kwa tafsiri isiyo rasmi hao ni Ngomma au MxCarter waliochangamka tu.

Muziki wa Marekani hauingiliki kirahisi, ingekuwa rahisi wasanii wa kwanza kutusua wangekuwa Psquare ( hawa walibebwa kwa nguvu zote na Akon )

Vile vile soko la Nigeria ni gumu.

Hata soko la South Africa ni gumu. South wana Muziki wao tu, hata wananigeria hawapati shows South Africa.
Tatizo sio show swala Ni distribution unajua Kama diamond platinumz ana platinumz mauzo kupitia universal group ko usibeze jitihada za wengine
 
Davido ni toto la mwaka 1992 bado balehe inalisumbua.

Hivi ushawahi kumsikia msanii kama Akon, Olamide, Don Jazzy wanabishana kwamba wanapesa saaana?
Point no kuwa Hana pesa au anazo , na sio balehe MTU MWENYE PESA LAZIMA kelele keep this in mind itakusaidia sana.
 
Let me get this straight Jamaa katoka universal alafu kaenda warner? Mbona univerals ni multiple times bigger than warner?

Plus si ni deal la distribution tu? Kuna wasanii wadogo sana marekani wako warner. Yaani sioni utofauti wa warner na
Slide digital ya Mx Carter.

Okay. Nalog off
Card B Ni mdogo.. ?
 
Mbona wakina Dj Khalid, Rick Ross wanajisifia sanaaaaaaa, huyo Rick Ross anajiita Boss of Florida, haya mambo ni kawaida sana ukiwa na fedha , unasema Davido ni wa 1992 lakini kumbuka Davido katoka ukoo wa kichifu wenye pesa chafu, lakini bado ajazoea na kelele anapiga, itakuwa wakina Mondi waliopambana toka chini, waache wako huru kujitangaza sheria haziwabani
Fact kaka
 
Kwa hiyo FORBES hawajui namna ya kupata taarifa za utajiri wake ila Google wanajua...so kwake Google ndio chanzo sahihi...wakati uki google kuhusu utajiri wake...hiyo Google inakurudisha kwa FORBES ahahahaha! Bongo ni zaidi ya Uijuavyo!
Sio lazima ikurudishe kwa Forbes sawa Kuna vyanzo mbalimbali kijana
 
Hao Niggas ni maHip hop na wala siyo matajiri sana kuliko wasanii wengine.

Hizo show offs ni tamaduni tu za Hip hop huko majuu ndio maana mpaka kina 6ix9nine wanafanya.

Ulishawahi kuona msanii wa RnB au msanii Mzungu anafanya huo utaahira???
Wapo wengi bhana to porojo hapa
 
Hao hawafanyi brokering kwa kukutafutia wateja. Ni sawa na wewe upeleke bidhaa zako supermarket.

Wamiliki wa supermarket hawawezi kulazimisha wateja wanunue bidhaa zako.

Muziki wa Nigeria uko Marekani kwa kiasi kikubwa kutokana na kwanza ukubwa wa production yao na pili wingi wa Diaspora huko majuu.

Wanigeria wameteka muziki wa Africa na Diaspora wengi sana nje.

Hata msanii wao akienda kufanya shows nje anapata watu wengi sana, Nigerians plus other Africans.

Juzi tu hapa kuna dogo Mnigeria aliuza album ya Wizkid kimagendo kupitia Apple Music na ndani ya muda mfupi alikuwa ameshapata zaidi ya 100M!

Sasa unadhani Wizkid huwa anakunja pesa kiazi gani.

Soko la bongo fleva bado liko nchi chache sana hasa Kenya, Rwanda, DRC, na nchi nyingine chache sana.
Naona unaforce penalty
 
Back
Top Bottom