Mkuu unapinga sana hii nakusoma ila vile vile kumbuka ni sehem ya branding. Domo kaji brand kama mtu wa majigambo so far inamlipa.
Hiyo kauli ya kubishana na Forbes hadi ma celeb wa naija wana comment na kuunga mkono. Hiyo tayari ni promo ya album yake. Kiba mkimya sana na hii inarudisha nyuma brand yake. Sasa hiyo mifano uliyotoa ya artists wa mbele wasiojikweza ni personality zao. Domo kiki za aina hii zinamlipa.
Ikitokea Forbes wakijibu madai yake, trend zinaongezeka, views zinaongezeka, subscribers wanaongezeka, hela inaongezeka siku zinakwenda!
Anacheza na mind za watu na ndo maana list ya Forbes ilipotoka alikaa kimya kwanza, mpaka alipoconfirm deal yake ya warner ndio hizi posts za kukandia Forbes.
Halafu vile vile kuna ukweli kwenye madai yake. Huwezi niambia kwa mpunga: Koffi+Diamond=Akothee. Something is wrong kwa hao Forbes inabidi wajirekebishe.