Tetesi: Dili la Mahop kwenda Yanga lashindikana

Tetesi: Dili la Mahop kwenda Yanga lashindikana

Zingzingzing

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
735
Reaction score
667
Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda Yanga limeshindikana baada ya Yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya Yanga kushindwa kufikia jambo hili.

Naona Yanga ikifunga goli below 40 next season maana hamna mshambuliaji wa kuaminika wa kumsaidia musonda.

Usiku mwema
 
Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda yanga limeshindikana baada ya yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya yanga kushindwa kufikia jambo hili.

Naona yanga ikifunga goli below 40 next season maana hamna mshambuliaji wa kuaminika wa kumsaidia musonda.

Usiku mwema
Source?
 
Ni katkat ya dirisha la usajil, lkn sio rahs kupata wachzaj wazr kwa nafas ya striker
Kwaio Ina Maana Striker Mzuri Afrika Nzima Ni Huyo Mahop Pekee, Kuna Wafungaji Bora Wangapi Msimu Uloisha Kwenye Ligi Zao Kama Yeye Mpk Yanga Ishindwe Kusajili Striker Kwa Siku Zilizobaki?
 
Kwani Usajili Ushafungwa??, Wachezaji Mbn Wapo Wengi Tu Afrika, Kwanza Sinaga Imani Na Washambuliaji Wenye Miili Mikubwa Kama Yeye, Ukute Mwili Mkubwa Mpira Hamna, Asije Kutuletea Mambo Ya Lukaku.
Wapo wengi ila siyo wakuokota okota bure
 
Back
Top Bottom