Tetesi: Dili la Mahop kwenda Yanga lashindikana

Sasa Lukaku ni mchezaji mbaya?
Angekuwa Mzuri Katika Nafasi Yake Si Angekuwa Anaimbwa Duniani Kote Kama Akina Halaand, Benzema, Suarez Au Aguero Enzi Zao, Ukitaja Washambuliaji Hatari Duniani Lukaku Unawez Kumtaja?, Angekuwa Mzuri Basi Mashabiki Wa Juve Wasingemkataa Kusajiliwa Kwenye Timu Yao.
 
Umeanza kuangalia mpira lini?
 
Walichokosea yanga ni kuanika mpango wao kabla ya kumnasa huyo striker , wakasahau kuwa Kuna wachawi kazi yao ni kuharibu mipango...
 
Na walishaonywa na mzee Mpili lakini wapi.
Ingawa uongozi haujaweka wazi kuhusu kumuhitaji au laa, lakini kikawaida tetesi haziji tu bure bure.
Hata yule Ranga Chivaviro nae wamemkosa kwa style hii hii ya kubwabwaja.
 
Back
Top Bottom