Tetesi: Dili la Mahop kwenda Yanga lashindikana

Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda yanga limeshindikana baada ya yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya yanga kushindwa kufikia jambo hili.

Naona yanga ikifunga goli below 40 next season maana hamna mshambuliaji wa kuaminika wa kumsaidia musonda.

Usiku mwema
Kennedy Musonda kasema yeye ni Mayele mpya, ngoja tuone.
 
tatizo Hawa wachezaji wengi wakiambiwa waje Tanzania wanajua wanakuja kucheza Simba na mawakala wao wanawadanganya makusudi. Mchezaji kaja kajua atacheza Africa super league alipofika kuambiwa Yanga akafanya makusudi kupandisha bei ngoja tuone ;labda watafika mwafaka
 
tatizo Hawa wachezaji wengi wakiambiwa waje Tanzania wanajua wanakuja kucheza Simba na mawakala wao wanawadanganya makusudi. Mchezaji kaja kajua atacheza Africa super league alipofika kuambiwa Yanga akafanya makusudi kupandisha day ngoja tuone ;labda watafika mwafaka
Day ndio nn,
 
Hahahahahahaha

Wazee wa kujdili tetesi
 
Mzee sizitaki mbichi hizi, mbona lukaku ana mwl mkubwa? Mbona bocco ana mwl mkubwa?
Humu kuna tetesi mayele kwenda azam
Humu kuna tetesi mahop kutokusajiri yanga
Humu kuna tetesi Yanga kafungiwa
Humu kuna tetesi bangala na djuma kwenda simba

Hahahahaha,hao ndio GT wa JF wanajadili TETESI hadi wanatukanana
 
tatizo Hawa wachezaji wengi wakiambiwa waje Tanzania wanajua wanakuja kucheza Simba na mawakala wao wanawadanganya makusudi. Mchezaji kaja kajua atacheza Africa super league alipofika kuambiwa Yanga akafanya makusudi kupandisha day ngoja tuone ;labda watafika mwafaka
Kuandika kwenyewe hujui, toka hapa kolo fala wewe.

Day ndio nini?
 
Humu kuna tetesi mayele kwenda azam
Humu kuna tetesi mahop kutokusajiri yanga
Humu kuna tetesi Yanga kafungiwa
Humu kuna tetesi bangala na djuma kwenda simba

Hahahahaha,hao ndio GT wa JF wanajadili TETESI hadi wanatukanana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom