Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Hahaha adui tumuombee njaaVizuri sana acha iwe hivyo.
Kabisa kabisa mkuu.Hahaha adui tumuombee njaa
Bas mtabaki na musonda na mzizeKwani Usajili Ushafungwa??, Wachezaji Mbn Wapo Wengi Tu Afrika, Kwanza Sinaga Imani Na Washambuliaji Wenye Miili Mikubwa Kama Yeye, Ukute Mwili Mkubwa Mpira Hamna, Asije Kutuletea Mambo Ya Lukaku.
Nimeekuliza Kwani Usajili Ushafungwa??Bas mtabaki na musonda na mzize
Ni katkat ya dirisha la usajil, lkn sio rahs kupata wachzaj wazr kwa nafas ya strikerNimeekuliza Kwani Usajili Ushafungwa??
Hpnaa, wameshindwana, amesepaMbona kaishatua Dar tayari anasubiri kutangazwa tu
Source?Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda yanga limeshindikana baada ya yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya yanga kushindwa kufikia jambo hili.
Naona yanga ikifunga goli below 40 next season maana hamna mshambuliaji wa kuaminika wa kumsaidia musonda.
Usiku mwema
Kwaio Ina Maana Striker Mzuri Afrika Nzima Ni Huyo Mahop Pekee, Kuna Wafungaji Bora Wangapi Msimu Uloisha Kwenye Ligi Zao Kama Yeye Mpk Yanga Ishindwe Kusajili Striker Kwa Siku Zilizobaki?Ni katkat ya dirisha la usajil, lkn sio rahs kupata wachzaj wazr kwa nafas ya striker
Wapo wengi ila siyo wakuokota okota bureKwani Usajili Ushafungwa??, Wachezaji Mbn Wapo Wengi Tu Afrika, Kwanza Sinaga Imani Na Washambuliaji Wenye Miili Mikubwa Kama Yeye, Ukute Mwili Mkubwa Mpira Hamna, Asije Kutuletea Mambo Ya Lukaku.
Kwani Kuna Usajili Unaofanyika Bila Pesa Kutumika?Wapo wengi ila siyo wakuokota okota bure