Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa Lukaku ni mchezaji mbaya?Kwani Usajili Ushafungwa?, Wachezaji Mbn Wapo Wengi Tu Afrika, Kwanza Sinaga Imani Na Washambuliaji Wenye Miili Mikubwa Kama Yeye, Ukute Mwili Mkubwa Mpira Hamna, Asije Kutuletea Mambo Ya Lukaku.
Angekuwa Mzuri Katika Nafasi Yake Si Angekuwa Anaimbwa Duniani Kote Kama Akina Halaand, Benzema, Suarez Au Aguero Enzi Zao, Ukitaja Washambuliaji Hatari Duniani Lukaku Unawez Kumtaja?, Angekuwa Mzuri Basi Mashabiki Wa Juve Wasingemkataa Kusajiliwa Kwenye Timu Yao.Sasa Lukaku ni mchezaji mbaya?
Umeanza kuangalia mpira lini?Angekuwa Mzuri Katika Nafasi Yake Si Angekuwa Anaimbwa Duniani Kote Kama Akina Halaand, Benzema, Suarez Au Aguero Enzi Zao, Ukitaja Washambuliaji Hatari Duniani Lukaku Unawez Kumtaja?, Angekuwa Mzuri Basi Mashabiki Wa Juve Wasingemkataa Kusajiliwa Kwenye Timu Yao.
Ww Unataka Kusema Nn Kuhusu Huyo Lukaku Bolingoli?Umeanza kuangalia mpira lini?
Mtu ashaandaa hadi video za kuaga,timu ishalipwa mil900 za usajili,we unaongea nini??Mayele anaweza akabaki yanga.
Afu mtine mmemtimua.Tushamsajili Barbie Gonzalez
Hio football ya gizani ishapitwa na wakatiWalichokosea yanga ni kuanika mpango wao kabla ya kumnasa huyo striker , wakasahau kuwa Kuna wachawi kazi yao ni kuharibu mipango...
Na walishaonywa na mzee Mpili lakini wapi.Walichokosea yanga ni kuanika mpango wao kabla ya kumnasa huyo striker , wakasahau kuwa Kuna wachawi kazi yao ni kuharibu mipango...