Tetesi: Dili la Mayele kwenda Pyramid lina asilimia kubwa ya kubuma, huenda akaungana na Feitoto Azam

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa waarabu wana agenda chafu na club za kusini ya jangwa la Sahara. Niliwahi kulisema hili wakati anaondoka Luis na Chama kuwa siyo kama walikuwa wanawahitaji kivile bali waliogopeshwa na kasi ya Simba mwaka ule na kweli walifanikiwa kwani tangu kipindi kile Simba haijawahi tena kufikia ubora ule. Na mafanikio ya Yanga hadi kufikia fainali ya CAF CC pia wame mind hivyo suala la kumtaka Mayele ni moja ya mbinu zao chafu kuzidhoofisha club zetu.
Uko sahihi sana dunia hii ina umafia sana.Waliotawala hawataki watawala wapya.
 
Ur very right . Hao Pyramid wanaonekana hawana hata shida na Mayele halafu Mayele ni kama kashikiwa akili na Jasmine. Yanga wamuache aende Azam then Azam wamtoe Simba.

Nitafurahi sana Yanga wakifika Robo au nusu fainali ya Champions league bila Mayele.
Tumefika, mkuu.
 
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba:

1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele.

2. Yanga wamewapa Pyramid siku tatu kutoka jana wawe wamesha ingiza pesa or else Yanga watafanya maamuzi mengine.

3. Pamoja na Yanga kutoa hiyo ultimaltum lakini Pyramid bado wapo kimya wala hawajafanya movement yoyote (Wanasuasua).

4. Yanga wamesha mleta Dar striker wa mabao (Emmanuel Mahop kutoka Cameroon/ ambae ndio mfungaji bora wa ligi ya Cameroon msimu ulio pita akifunga magoli kumi na tano Kati ya mechi ishirini alizo cheza plus assist tatu)

5. Pamoja na kumleta Mahop ili awe mrithi wa Mayele lakini Yanga bado hawajamsainisha Mahop kwa sababu bado hawana uhakika na dili la Mayele. Wanahofia kwamba endapo watamsaini Mahop watakuwa wamekamilisha idadi ya wachezaji wa kigeni. Ikitokea Pyramid wasipo weka mkwanja kwa ajili ya kumnunua Mayele dili la Mayele litakufa na Mayele atakosa nafasi ya kucheza Yanga so Yanga ima watalazimika kumuuza Mayele kwenye timu ambayo itakuwa na nafasi ya mchezaji wa kigeni (Azam wanatajwa kuwa tayari kumnunua Mayele endapo dili lake litabuma) au kumtoa Azizi Ki kwa Mkopo kwenda Singida FG ili wamsaini Mahop ampe changamoto Mayele au wasitishe mpango wa kumsajili Mahop.

6. Inasemekana Wakili Jasmini ambae ni msimamizi wa Mayele anataka Mayele aende Azam kuungana na Fei Toto.

Let's wait and see hii sinema inaishia wapi.

Ushauri wangu kwa uongozi wa Yanga: Msainisheni Mahop, ni mtu na nusu. Dili la Mayele kwenda Pyramid hata likibuma muuzeni Azam akaungane na Fei Toto. Endeleeni na spirit yenu ya kutomnyenyekea mchezaji kwa sababu hata hivyo hachezi bure analipwa.

Muacheni Mayele akacheze na Fei Toto kama alivyopiga kijembe kwenye instagram live juzi kwamba amemiss sana kucheza na Fei na atatamani sana kucheza na Fei plus kijembe alichopiga wiki kadhaa zilizopita kwamba eti wacongo wanapenda sana hela (kwani watu wa nchi gani ndio hawapendi hela)

Mashabiki wa Yanga wamesha move on na tayari nafsi zao zimeshakubali kuishi bila Mayele.

Ushirikiano wake na Fei na taarifa kwamba alikuwa anaidengulia Yanga kusaini mkataba mpya vimewafanya mashabiki wa Yanga waanze kumtoa taratibu kwenye nafsi zao.

Wakili Jasmini hayupo tena loyal kwa Yanga, suala la Fei bado analichukulia personal dhidi ya Hersi. Anacho kitaka yeye ni kuona Hersi anafeli hivyo sio busara kuendelea kuwa na mchezaji ambae anasimamiwa na Jasmini.

Yanga will always be Yanga with or without Mayele.
Vipi hivi mayele yuko wapi
 
jasmin sio wakili na wala hana taaluma ya sheria
 
Back
Top Bottom