Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Mbona Mao mMkami kutambulisha huko Misri wewe?Fake news . Egypt ligi bado haijaisha huwezi tambulisha mchezaji wakati dirisha la usajili bado halijafunguliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mao mMkami kutambulisha huko Misri wewe?Fake news . Egypt ligi bado haijaisha huwezi tambulisha mchezaji wakati dirisha la usajili bado halijafunguliwa
Ndo wenye uwezo wa kumsajili kwa sasaKwanini azam na isiwe simba au Namungo ?
MChambuz uchwaraKwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba:
1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele.
2. Yanga wamewapa Pyramid siku tatu kutoka jana wawe wamesha ingiza pesa or else Yanga watafanya maamuzi mengine.
3. Pamoja na Yanga kutoa hiyo ultimaltum lakini Pyramid bado wapo kimya wala hawajafanya movement yoyote (Wanasuasua).
4. Yanga wamesha mleta Dar striker wa mabao (Emmanuel Mahop kutoka Cameroon/ ambae ndio mfungaji bora wa ligi ya Cameroon msimu ulio pita akifunga magoli kumi na tano Kati ya mechi ishirini alizo cheza plus assist tatu)
5. Pamoja na kumleta Mahop ili awe mrithi wa Mayele lakini Yanga bado hawajamsainisha Mahop kwa sababu bado hawana uhakika na dili la Mayele. Wanahofia kwamba endapo watamsaini Mahop watakuwa wamekamilisha idadi ya wachezaji wa kigeni. Ikitokea Pyramid wasipo weka mkwanja kwa ajili ya kumnunua Mayele dili la Mayele litakufa na Mayele atakosa nafasi ya kucheza Yanga so Yanga ima watalazimika kumuuza Mayele kwenye timu ambayo itakuwa na nafasi ya mchezaji wa kigeni (Azam wanatajwa kuwa tayari kumnunua Mayele endapo dili lake litabuma) au kumtoa Azizi Ki kwa Mkopo kwenda Singida FG ili wamsaini Mahop ampe changamoto Mayele au wasitishe mpango wa kumsajili Mahop.
6. Inasemekana Wakili Jasmini ambae ni msimamizi wa Mayele anataka Mayele aende Azam kuungana na Fei Toto.
Let's wait and see hii sinema inaishia wapi.
Ushauri wangu kwa uongozi wa Yanga: Msainisheni Mahop, ni mtu na nusu. Dili la Mayele kwenda Pyramid hata likibuma muuzeni Azam akaungane na Fei Toto. Endeleeni na spirit yenu ya kutomnyenyekea mchezaji kwa sababu hata hivyo hachezi bure analipwa.
Muacheni Mayele akacheze na Fei Toto kama alivyopiga kijembe kwenye instagram live juzi kwamba amemiss sana kucheza na Fei na atatamani sana kucheza na Fei plus kijembe alichopiga wiki kadhaa zilizopita kwamba eti wacongo wanapenda sana hela (kwani watu wa nchi gani ndio hawapendi hela)
Mashabiki wa Yanga wamesha move on na tayari nafsi zao zimeshakubali kuishi bila Mayele.
Ushirikiano wake na Fei na taarifa kwamba alikuwa anaidengulia Yanga kusaini mkataba mpya vimewafanya mashabiki wa Yanga waanze kumtoa taratibu kwenye nafsi zao.
Wakili Jasmini hayupo tena loyal kwa Yanga, suala la Fei bado analichukulia personal dhidi ya Hersi. Anacho kitaka yeye ni kuona Hersi anafeli hivyo sio busara kuendelea kuwa na mchezaji ambae anasimamiwa na Jasmini.
Yanga will always be Yanga with or without Mayele.
Mhh[emoji848][emoji848][emoji848]Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema kweliMayele ameondoka jana kuelekea Misri, FYI.
Hahahaha...Mshana bwanaMpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mtabiri wetuFake news . Egypt ligi bado haijaisha huwezi tambulisha mchezaji wakati dirisha la usajili bado halijafunguliwa
Kuna watu humu wanapenda kujivua nguoHaya mtabiri wetu
Dili la Mayele limebuma
Ukishaona anasajiliwa streka huhitaji kujiuliza anaachwa nani?Bwege wewe, ulitulisha upepo.
Hahahaha,dah TanzaniaMpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha,hivi huwa ni ushabiki au umbumbumbuKuna watu humu wanapenda kujivua nguo
KapuyangaHahahaha...Mshana bwana
Wa uwoya?Likibuma ujue ana ukimwi.
Hawa DP World hawana mchezo na kupima Methord Mogela na Ramadhan Lenny walikwama huko.Wa uwoya?