Mpaka kesho Fergusion anaendelea kuwa kocha bora niliye mshuhudia,aliweka misingi ya kwamba hamna mkubwa zaidi ya club na yeye ndio boss. Ndio maana yule jamaa alikuwa anapata mafanikio makubwa, kwa wachezaji wa kawaida.
Mchezaji kama haitaki club maana yake hatacheza kwa moyo, Man Utd kulikuwa na Park,Mached,Fletcher, Brown, Oshea nk.Wachezaji walikuwa wakawaida ila walikuwa na nidhamu na kucheza kwa moyo na kwa maelekezo ya kocha.
Kama hataki aende cha msingi hela yetu na kama ikiwezekana kama wakala haeleweki, uza wachezaji wake wote na usichukue mchezaji anaye milikiwa nae.
Sasa hivi tena huyo Jasminie kawaambia Yanga,gharama za Msuva mil 700,anazani anaikomoa Yanga wakati ukiingia Kongo, Zambia, Uganda unapata winga kwa dola 100k sema basi bongo hatujawekeza sana kwenye Scout.Hata huyo Bacca nae kama huyo mama akimjaza upepo wa mwache nae.