Dili la Nabi Kwenda Kaizer Chief Labuma

Changamoto zingine ndio hizi Sasa!! [emoji23]
Uko sahihi; alipoacha Yanga alisema anakwenda kutafuta changamoto, hakusema kuwa anakwenda kufundisha kaizer. Changamoto zenyewe ndiyo hizo.

Kinachoonekana ni kwamba alitaka aondoke Yanga na clean record kwa vile yajayo hayajulikani. Angekaa mwaka mwingine akaishia kupoteza kombe mojawapo na huenda kushindwa kufika CAF fainali tena ingechafua rekodi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…