Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam unga au Azam TV?Mkumbuke Azma hawana kocha
Azam wana coachNABI to AZAM.
NI SUALA LA MUDA TU...
Ila sijui ITAKUWAJE maana Azam Wana KOCHA wao.
Inavyosemekana kilichomkwamisha ni bench la ufundiKuna mkoa nasikia ukitaka kuondoka hautakiwi kuaga, inabidi washtuke ushaondoka. Yanga ndiyo sehemu kama hiyo.
😆😆🤣Uko sahihi; alipoacha Yanga alisema anakwenda kutafuta changamoto, hakusema kuwa anakwenda kufundisha kaizer. Changamoto zenyewe ndiyo hizo.
Kinachoonekana ni kwamba alitaka aondoke Yanga na clean record kwa vile yajayo hayajulikani. Angekaa mwaka mwingine akaishia kupoteza kombe mojawapo na huenda kushindwa kufika CAF fainali tena ingechafua rekodi hiyo.
Una ujinga mwingiChiefs wamegundua kwamba Yanga walifika pale walipofika kwa kubahatisha tu, wala si kwa uwezo wa Nabi wala wachezaji.Na si ajabu kwamba hata huyo Mayele anaweza asichukuliwe South.
Katupiwa jini la ubishiInavyosemekana kilichomkwamisha ni bench la ufundi
Alitaka aende na timu yake ya technical bench kuanzia fitness coach, goalkeeping coach na wengineo
Kaizer walikataa kubadilisha benchi lao lite
Yanga hausiki hapo
Pesa mkuu halafu ni heri kuondoka kwa heshima mahali kuliko uje utimuliwe.nae anhebakigi Yanga tu anhangaika nini kama akina mbwana samatta
mwisho mtu unapoteza ladha yako, tulIa unapokubalika
InawezekanaNazan huyu kocha ana ofa zaid ya moja mkononi ila sisi tumeijua ya keizer chif zaid
Azam wana coach