Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hujui lolote, walichoshindwana na Kaizer Chiefs Nabi alitaka aende na technical team yake akiwemo yule manywele ni muhimu sana kwa Nabi.
Kaizer Chiefs nao wana watu wao ambao wanawakubali hawapo tayari kuwafukuza kazi kisa matakwa ya Nabi.
Kwa lugha nyingine Nabi hakuwa mtu mzuri kwa riziki za watu wengine pale Kaizer Chiefs na hata Mungu hapendi hivyo.