Sijawahi kusikia kocha kuwa na wakala.Ndio kazi ya wakala hio au anafanya kazi kama duka la mangi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kusikia kocha kuwa na wakala.Ndio kazi ya wakala hio au anafanya kazi kama duka la mangi?
Hizi ni akili za kimasikini. Kama huna thamani ni wewe, kwa mtu mwenye thamani hii kwake ni fursa zaidi. Kwa profile yake unadhani atakosa timu kubwa?Una acha kazi kabla hauja pata kazi! Kivumbi na jasho
Kumbe mashindano ya luzaz yanaweza kupandisha profile eeh. Hiyo akili zimewarudi saivi au mlikuwa nazo tokea muda tu ila mkawa mnajichetua?Hizi ni akili za kimasikini. Kama huna thamani ni wewe, kwa mtu mwenye thamani hii kwake ni fursa zaidi. Kwa profile yake unadhani atakosa timu kubwa?
Ungekua na akili hata robo usingekua una andika mashudu kama haya, kitendo cha deal lake ku fail value vyake imeshuka sasa hivi yeye ndio anatafta timu sio timu inamtaka hata kama ilikuwepo ni second option huoni kama kuna kitu kina miss?Hizi ni akili za kimasikini. Kama huna thamani ni wewe, kwa mtu mwenye thamani hii kwake ni fursa zaidi. Kwa profile yake unadhani atakosa timu kubwa?
Jose MorinhoSijawahi kusikia kocha kuwa na wakala.
Shida unakurupuka mihemuko mapovu kama umelishwa omoHujui lolote, walichoshindwana na Kaizer Chiefs Nabi alitaka aende na technical team yake akiwemo yule manywele ni muhimu sana kwa Nabi.
Kaizer Chiefs nao wana watu wao ambao wanawakubali hawapo tayari kuwafukuza kazi kisa matakwa ya Nabi.
Kwa lugha nyingine Nabi hakuwa mtu mzuri kwa riziki za watu wengine pale Kaizer Chiefs na hata Mungu hapendi hivyo.
Duwa la Kuku tangu lini likampata mwewe? Shida iko palepale.Yanga wamekataliwa kusajili mwaka huu 2023-2024
Niliwahi kusema hiviNabi atakuwa na offer kibao...