Dili la Nabi Kwenda Kaizer Chief Labuma

alifikiri labda tayari ameshakuwa hot cake. wasouth huwa hawashobokei sana rangi nyeupe, lakini kwasababu hakujisaidia kwenye kambi anaweza kurudi tu yanga siku zijazo.
 
Kuna mkoa nasikia ukitaka kuondoka hautakiwi kuaga, inabidi washtuke ushaondoka. Yanga ndiyo sehemu kama hiyo.
Inavyosemekana kilichomkwamisha ni bench la ufundi
Alitaka aende na timu yake ya technical bench kuanzia fitness coach, goalkeeping coach na wengineo
Kaizer walikataa kubadilisha benchi lao lite
Yanga hausiki hapo
 
😆😆🤣
 
Inavyosemekana kilichomkwamisha ni bench la ufundi
Alitaka aende na timu yake ya technical bench kuanzia fitness coach, goalkeeping coach na wengineo
Kaizer walikataa kubadilisha benchi lao lite
Yanga hausiki hapo
Katupiwa jini la ubishi
 
Huyu anaenda huko kwao Tunisia, kuna team inamtakaa.
 
Azam achaneni na huyo msenegal WENU.

NABI Hana timu.

NABI hawezi KUFUNDISHA timu kubwa kama KAIZERCHEEF.
 
Azam wana coach

Azam Wana KOCHA raia WA Senegal.


AZAM FC imemtangaza Kocha wao mpya, Youssouph Dabo raia wa Senegal kwa ajili ya kukifundisha kikosi hicho kwa msimu ujao 2023-2024. akichukua nafasi ya Kally Ongala.

Dabo anatua kwenye timu hiyo baada ya kuachana na ASC Jaraaf de Dakar huku akikumbukwa zaidi baada ya kuifundisha Teungueth iliyokuwa na staa wa Simba, Pape Sakho na Malikcou Ndoye wa Azam.
Dabo mwaka 2016, akiwa na Teungueth alitwaa ubingwa wa Kombe la Ligi na 2017 akiwa Kocha wa Teungueth alifika fainali ya Kombe la Senegal (sawa na Kombe la Shirikisho la Azam hapa nchini).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…