Dili la Nabi Kwenda Kaizer Chief Labuma

Una acha kazi kabla hauja pata kazi! Kivumbi na jasho
Hizi ni akili za kimasikini. Kama huna thamani ni wewe, kwa mtu mwenye thamani hii kwake ni fursa zaidi. Kwa profile yake unadhani atakosa timu kubwa?
 
Hizi ni akili za kimasikini. Kama huna thamani ni wewe, kwa mtu mwenye thamani hii kwake ni fursa zaidi. Kwa profile yake unadhani atakosa timu kubwa?
Ungekua na akili hata robo usingekua una andika mashudu kama haya, kitendo cha deal lake ku fail value vyake imeshuka sasa hivi yeye ndio anatafta timu sio timu inamtaka hata kama ilikuwepo ni second option huoni kama kuna kitu kina miss?
 
Shida unakurupuka mihemuko mapovu kama umelishwa omo

Swali langu alisema wapi kuwa anaenda kaizer?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…