Dillemma!

Hiyo ya kusahau kama wana vifanyio ilikuwa mwaka 47 Husninyo, siku hizi hata wa miaka 79 bado wanagegedana tena kwa raha zao, chezeya utamu weye!!!!

hehehehe!!! kama yule muheshimiwa naniliii hajafikisha 70 kweli!!!? ila maelewano mazuri ndo mpango mzima na ndio muhimili wa mahusiano. hebu wanandoa mtuambie kama mnasex mara kwa mara. sie singles inaweza pita mpaka miezi sita bila mautamu. nafanya kukagua kifanywa changu kama bado kipo au kishadisapia.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Usichague sana mama, Unaweza kumpata mnaeendana ila hajui sex
 
In fact hauko tayari kutambulishwa kwasasa...mwambie.

Zipo tabia zirekebikazo na zisizorekebika...pima nauamue kuwa anakufaa au hakufai.

Muda wa kitandani ni mfupi zaidi ya ule mjumuikao nje kwenye jamii...amua kipi wahitaji zaidi, au sawazisha au toa kafara kimojawapo.
 
Bado najaribu kutathmini, ivi ye anaonesha kukujali lakini? nimepata mashaka apo anapokuambia muachane we ndo unalia.Katika hili mshirikishe na Mungu ili ufanye maamuzi sahihi.

hapo tu ndio panaponichanganya na mimi et nakosa amani ya maisha na huwa nafikiria na kuamua kumuacha but akisema tuachane namlilia iv mi mzima kweli???
 
Usichague sana mama, Unaweza kumpata mnaeendana ila hajui sex

hapo chacha ndo panaponiumiza zaidi sex ina raha yake especially ukimpata mkunaji haswaa on the other side amani nayo ndo kila kitu thats why i'm in dillemma!
 
Interest zako umebadili au kuna mtu unamuona ni bora kuliko huyo wako
 

nahitaji amani but at the same time ile nayo duh anyway i think its because kati ya niliokutana nao yeye ndio namuona the most katika sex na may be nahisi kumpata anaejua ni shidaaa.
 
Negative effects za kuonja tunda kabla ya ndoa ni pamoja na hii.. Sikulaumu coz wengi sasa ndio trend yetu ya maisha, kulalana kwanza...lakini kusingekuwa na ngono, ingalikuwa rahisi kufanya maamuzi, kwa sasa kigezo kimoja tu kinakufunga.

upo crossroad kwa sasa, lakini jiulize hivi maisha ni tendo la ndoa pekee. Kama hutakuwa na amani ndani ya nyumba, hata huko kumsifia hakutakuwepo tena vile utaota sugu ya matatizo na sex haitakuwa na ladha tena.

think dada, think...!!
 
Interest zako umebadili au kuna mtu unamuona ni bora kuliko huyo wako

sio hivo unajua kuna interests zingine zinajenga zingine hazijengi kabsaaa na kama watu mnataka kufanikiwa kimaisha automatic lazima muwe na interests zinazojenga na suala sio kumpata mwingine at least kumshirikisha mwenzio zinazowezekana kubadilika pabadilishwe kwa manufaa ya wote but hilo linapokua gumu hamtafanya chochote kile kila siku mtaishia malumbano tu..
 
fanya maamuzi magumu now tumia tu busara...mwambie not the right moment now so utaendelea having sex while unapanga plan b taratibu....

Your right hapo Kama upendo upo lazima tumbo liwe joto!! Some times tuelewe Tabia za watu ni tofauti kuna wengine wana ukorofi wa asili !! Historical toka babu mpaka mjukuu :mfano mzuri ni Mimi mwenyewe
 
well understood asee umesema poent imeniingia kisawasawa.. thanks.. thanks again..

cc.Eli79
 
Your right hapo Kama upendo upo lazima tumbo liwe joto!! Some times tuelewe Tabia za watu ni tofauti kuna wengine wana ukorofi wa asili !! Historical toka babu mpaka mjukuu :mfano mzuri ni Mimi mwenyewe

absolutely perfect... huko koote ni matokeo tu the problem NI MKOROFI WA ASILI. Namimi ni mpole kupitliza yani ni interests zetu ni kusini na kaskazini.
 

Unapenda mapenzi za kizungu mwenzio anataka muishi kiafrika zaidi ambapo mwanaume hana mazoea na mke wake kama vile utani au kudharauliwa na akisema kitu kifuatwe
 
Katika vitabu vyote nilivyowahi kusoma vihusuvyo ndoa, katika maarifa yote niliyowahi kuyapata kuhusu ndoa na katika uzoefu wote nilionao kuhusu ndoa...binti pasipo shaka yoyote nakueleza ya kwamba upo hatarini kuliko hatari yenyewe.

Yes, ngono ni sehemu moja wapo ya mahusiano ya kindoa lakini ukweli ni kwamba inachukua asilimia ndogo sana ya maisha mazima ya ndoa.

Wataalamu wa mahusiano ya kingono hutamka ya kwamba, ngono nzuri huanzia akilini mwa mtu...yaani wale wenye afya ya akili hufaidi zaidi kuliko wale wenye mtindio wa afya ya akili.

Huwezi kuishi na mtu maisha yako yote huku moyo wako ukiwa hauna amani naye kabisa.

NOTE:
Kuna wakati nilikushauri kwa lugha ngumu kidogo wakati uliopita, na naamini ulinipuuzia kama wadada wengi wapendavyo kufanya...ila sasa kama unaweza rudi nyuma na uyakumbuke yale maneno

 
Your right hapo Kama upendo upo lazima tumbo liwe joto!! Some times tuelewe Tabia za watu ni tofauti kuna wengine wana ukorofi wa asili !! Historical toka babu mpaka mjukuu :mfano mzuri ni Mimi mwenyewe

na katika maongezi nimeconclude na kujua historia yake sio nzuri sababu ameishi na wasichana weengi sana na kati ya hao wasichana kama watatu hivi unakuta walifikia hatua fulani but hao wasichana huahirisha na kuamua kumuacha kwa amani tu so huyu atakua ni mkorof saana.
 

Mmmm!!!!
Kisa cha kurudishiwa mahari mara 2?!!!

Ila kama wanavyokushauri hapa wadau. Hata mtu awe mkunaji namna gani, hutausikia utamu kama huna amani nae pale mnapokuwa ndani ya ndoa. Ama jitahidi kuendana nae... au chukua maamuzi magumu
 
mahondaw chukua hii...
 
Last edited by a moderator:

yeah i got him.. na sijui leo nikaogee maji gani maana kila tunapoargue na watu8 huishia kutukanana tu but thanks God leo amenishauri vizuri sana bila matusi.. asante sana take like weneva yuaaa.

cc. watu8
 
Last edited by a moderator:
yeah i got him.. na sijui leo nikaogee maji gani maana kila tunapoargue na watu8 huishia kutukanana tu but thanks God leo amenishauri vizuri sana bila matusi.. asante sana take like weneva yuaaa.

cc. watu8

Ila hujanijibu swali langu hapo juu. Kwamba huyo jamaa kwa nini amerudishiwa mahari mara 2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…