Dillemma!

Dillemma!

And u'll never know unless I tell u..

Hivi ni huo ukorofi wake au kuna jingine? kiukweli nimesoma uzi wote lakini nimeshindwa ku-identify hizo interests unazotofautiana naye. Pengine kama utazi-mention utatupatia picha kamili na hivyo kukupa ushauri mzuri. If you don't mind, please outline your conflicting interests
 
Kweli aisee atupatie japo picha tu ya hizo interest sio lazima azitaje moja kwa moja
 
ni huo tu nothing else...mmhh zilivo nyingi mpaka nashindwa nianzie wap.!
 
Hahahah!!!

Samahani bi dada ila wakati mwingine huwa natumia lugha ngumu sana kwa kuwa tu huwa sipendi kuona kina dada wanahadaiwa na sisi wanaume.

Huwa nakasirishwa sana na wadada wasiojielewa na kuacha hisia zao zichezewe na vijana, mwisho wa siku mnajikuta mpo njia panda na wakati hapo nyuma kulikuwa na chance ya kufanya maamuzi sahihi.

Once again, take your time to ask your very inner man kwamba "Je huyo mtu uliyenaye ni mtu sahihi kwako?"

Karibu!!!

yeah i got him.. na sijui leo nikaogee maji gani maana kila tunapoargue na watu8 huishia kutukanana tu but thanks God leo amenishauri vizuri sana bila matusi.. asante sana take like weneva yuaaa.
cc. watu8
 
Kweli aisee atupatie japo picha tu ya hizo interest sio lazima azitaje moja kwa moja

kama mtu mwenye plani nae ninapotaka kumshauri kitu anareact negatively kabisa kabla sijamaliza kuongea anaingilia kati na kuanza kusema bwana ee usiniingilie kwenye mambo yangu kila mtu afanye yake kama umeshaona weakness zangu basi achana na mimi wafuate haohao unaowaona hawakosei. He is 35 years of age na alishikaga hela nyingi tu ni mfanyakaz serikalin but it seems as he's afresh.
 
Nadhani lugha yako ni ngumu kama yangu

Mtu anaona unamgombeza, kumbe mwenyewe uko bize 'ashaming the devil himself', huna ugomvi na mtoa mada.

Hahahah!!!

Samahani bi dada ila wakati mwingine huwa natumia lugha ngumu sana kwa kuwa tu huwa sipendi kuona kina dada wanahadaiwa na sisi wanaume.

Huwa nakasirishwa sana na wadada wasiojielewa na kuacha hisia zao zichezewe na vijana, mwisho wa siku mnajikuta mpo njia panda na wakati hapo nyuma kulikuwa na chance ya kufanya maamuzi sahihi.

Once again, take your time to ask your very inner man kwamba "Je huyo mtu uliyenaye ni mtu sahihi kwako?"

Karibu!!!
 
kama mtu mwenye plani nae ninapotaka kumshauri kitu anareact negatively kabisa kabla sijamaliza kuongea anaingilia kati na kuanza kusema bwana ee usiniingilie kwenye mambo yangu kila mtu afanye yake kama umeshaona weakness zangu basi achana na mimi wafuate haohao unaowaona hawakosei. He is 35 years of age na alishikaga hela nyingi tu ni mfanyakaz serikalin but it seems as he's afresh.

Mmh sasa usipomshauri wewe anataka ashauriwe na nani? Hata bible inasema sisi ni wasaidizi. Kitendo cha kukwambia kila mtu afanye yake ni dalili kwamba mwanaume huyo ni mbinafsi...arrogant na hajui kujishusha,hataki kukosolewa....ni hatari sana kimbia...ya nini kuteseka kwaajili ya starehe ya nusu saa?
 
Kwa kifupi wewe binti, kimbia haraka, familia ni zaidi ya bf/gf relationship. Kama hamna core values za kufanana, unaolewa kwa ajili ya kutalikiana.

Mfano, mie nikigundua mwanamme hana 'kifua', ni sababu tosha ya kuvunja mahusiano. Why? I was raised like that, mwanamme lazima awe na kifua cha kubeba mizigo ya zambi, kusaka usuluhishi wa mahusiano yetu nyumba ya jirani ni weakness kubwa mno kwangu, I CAN'T!!!!
 
Yaani ujibebeshe gunia la misumari kisa usaidizi? Msimuuze mwenzenu, ndoa sio kombe kusema umeshinda, ndoa ni masiha baada ya kuwatangazia watu kwa taratibu rasmi kuwa mmeamua kuishi pamoja.

SI kila mwanamme kalelewa kwa ajili ya kuwa na ndoa, kadhalika wanawake.

Mmh sasa usipomshauri wewe anataka ashauriwe na nani? Hata bible inasema sisi ni wasaidizi. Kitendo cha kukwambia kila mtu afanye yake ni dalili kwamba mwanaume huyo ni mbinafsi...arrogant na hajui kujishusha,hataki kukosolewa....ni hatari sana kimbia...ya nini kuteseka kwaajili ya starehe ya nusu saa?
 
Yaani ujibebeshe gunia la misumari kisa usaidizi? Msimuuze mwenzenu, ndoa sio kombe kusema umeshinda, ndoa ni masiha baada ya kuwatangazia watu kwa taratibu rasmi kuwa mmeamua kuishi pamoja.

SI kila mwanamme kalelewa kwa ajili ya kuwa na ndoa, kadhalika wanawake.

Nahisi hujanielewa mamkubwa Kongosho....nlikuwa namzungumzia huyo mwanaume asiyetaka kushauriwa na mtu anayemwita mkewe mtarajiwa
 
Last edited by a moderator:
Taja chache tu ambazo ndo main

Tofauti kidogo tu anachukua cm na kuanza kupekua et nimeongea na wanaume gani! akienda mjini akaona labda vyakula perishable bei rahisi akanunua tu viingii na vya hela nyingii wakati vilivopo ndani havijaisha mwishowe vinakaa hadi vinaharibika tunatupa. nguo na viatu ndio usiseme kila akiona amevipenda lazima anunue nikimshauri anasema anatumia hela zake is that how lyf goes?? hii tar 20 hana hata cent. He's so materialist hafocus mbele..
 
Aiseee..... Kama under 18! Mwanaume wa namna hiyo hamwezi kuwa na maendeleo kamwe kibaya zaidi hataki kukosolewa...tena huyo sio kwamba hamuendani na wewe.....ni kwamba hafai. Hakuna mwanamke ataweza kuishi nae na tabia zake hizo labda punguani.... Tena unaweza kujitahidi kumbadilisha kwa sasa akajifanya kabadilika kumbe anakuinjoi tu anataka akuweke ndani aanze mambo yake tena... Kimbia haraka sex ipo popote na ni sehemu ndogo tu ya maisha yako. Na ukiolewa nae itafika mahali hutainjoi sex kama sasa maana hamtakuwa mnaelewana...huwezi kuinjoi
 
Mmh sasa usipomshauri wewe anataka ashauriwe na nani? Hata bible inasema sisi ni wasaidizi. Kitendo cha kukwambia kila mtu afanye yake ni dalili kwamba mwanaume huyo ni mbinafsi...arrogant na hajui kujishusha,hataki kukosolewa....ni hatari sana kimbia...ya nini kuteseka kwaajili ya starehe ya nusu saa?

ulichosema ni kweli kabisa na inafikia mahala naona anachofanya sio naogopa hata kumwambia kuepusha ugomvi bt moyoni hili linanikosesha amani sana.
 
Interest zipi ambazo hazikufanana? Kila mmoja alikuwa na hamu ya ngono na mwenzake, na hiyo ndo kufanana kwa interest zao, ndio maana akasema, jamaa anamsasambua kweli kweli.

Bill,umesoma maelezo ya mleta uzi?yeye mwenyewe amesema interest zao haziendani kabisaaa?!ndo mana nikamuuliza aliwezaje kuwa na uhusiano na mtu kama hawana interest zinazofanana?!ni kitu hakiwezekani! ni kwamba lazima kuna kitu au vitu vitakavyowavuta pamoja vinavyofanana!sasa jibu unalotoa hapa ni kwamba walikuwa ni interest zinazofanana,ambao ndio ukweli wenyewe!so aliposema hawana interest zinazofanana,mimi ndo nikaona haiwezekani!
 
Back
Top Bottom