Dillemma!

Dillemma!

wee andishile ndio huelewi kabisa ebu soma vizuri koments zangu zoote utapata majibu...anyway ndio mana kuna first learner and slow learner... nimemaliza
 
Hahahahahaha lol!!!!! Hebu angalia vizuri labda kimeshasepa baada ya kuona hakitumiwi ipasavyo lol!!!! Kama nakuona vile umefunga mapazia yote na milango huku ukifanya ukaguzi wa kina kama kifanywa bado kipo 🙂🙂

hehehehe!!! kama yule muheshimiwa naniliii hajafikisha 70 kweli!!!? ila maelewano mazuri ndo mpango mzima na ndio muhimili wa mahusiano. hebu wanandoa mtuambie kama mnasex mara kwa mara. sie singles inaweza pita mpaka miezi sita bila mautamu. nafanya kukagua kifanywa changu kama bado kipo au kishadisapia.
 
There has to be mre to a relationship than the way a man makes me fel in bed.

How long does an orgasm even last to make me confused?

Hell, how am I even supposed to enjoy sex without peace of mind.

MAybe its just me Karucee but I insist sex has never been the first thing that comes to mind when I think of a guy.
 
Ndugu yangu me naona unataka kufupisha maisha yako kwa ajili ya mwingine,huo tunaita ni upendo wa AGAPE.
Hakuna kitu kibaya kama kukosa amani moyoni mpenzi. kama sasa hivi tu hamjaoana unakosa amani mkioana itakuwaje? Ukiwa huna amani hata hamu ya kugegedana itakuwa haipo. achana naye tu kiroho safi tena me naona umechelewa sana kuachana naye. fanya hima ndugu.
 
ngoja nifanye hima kwa speed kabla haijawa too late duh
 
usithubutu kukanyaga moto kwa makusudi utajuta maisha yako yoooooteeee!!!!!!!think twice.mahondaw.......
 
Kiukweli sex is not the only thing that you have to consider before getting committed to marriage,marriage is more than sex though it is very important to strengthen the relationship btn the two!!
 
Huu ulimwengu kila mmoja analia na lake

hah hah at least umenifanya nicheke maana soon tumetibuana hatuongei tangu mchana na amesusa kabisaa.. kaazi kwel kwel
 
yes.. kwanini umeuliza ivo???

cute.....anyway kuna kitu inabidi ujifunze....ujue namna ya kujitambua na kujua weakness zako kuna possibility kubwa ukiachana na huyu ukabeba kimeo kingine zaidi ya hiki....kuna kitu kwenye personality za watu kinachowafanya wawe 'turned on' with the wrong people while utakuta so many right people wanakutaka....labda Mtambuzi anaweza kusaidia..
 
Last edited by a moderator:

thanks alot... kweli kabisa na mimi anachoniambia mbona namsikiliza jamani hata mungu ananiona.
 
Last edited by a moderator:
kama maharage yako sio matamu weka tui la nazi. ww wafananisha harage la mafuta na kuku? tia tui uone kama libroila hujalitupa kule. utamu mpaka kisogoni.

Sijakuelewa cousin wangu...au?
 
Yani sijui hata kwa nini inakuwaga hivi smtym,..anyway naamini relationship ikiwa right u will just sense from your instincts and know this is it...sijui 'right' yenyewe ina exist au ndo najifariji tu hapa
 
Huu ulimwengu kila mmoja analia na lake

hah haa na kiherehere chake siku ya kwanza kwenda kusali kanisani kwao kanitambulisha et ndo mkewe mtarajiwa so kanisa zima wanaexpect ndoa..hu huu watakaposhangaa mgole haonekani miaka nenda rudi...
 
Back
Top Bottom