Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika vitabu vyote nilivyowahi kusoma vihusuvyo ndoa, katika maarifa yote niliyowahi kuyapata kuhusu ndoa na katika uzoefu wote nilionao kuhusu ndoa...binti pasipo shaka yoyote nakueleza ya kwamba upo hatarini kuliko hatari yenyewe.
Yes, ngono ni sehemu moja wapo ya mahusiano ya kindoa lakini ukweli ni kwamba inachukua asilimia ndogo sana ya maisha mazima ya ndoa.
Wataalamu wa mahusiano ya kingono hutamka ya kwamba, ngono nzuri huanzia akilini mwa mtu...yaani wale wenye afya ya akili hufaidi zaidi kuliko wale wenye mtindio wa afya ya akili.
Huwezi kuishi na mtu maisha yako yote huku moyo wako ukiwa hauna amani naye kabisa.
NOTE:
Kuna wakati nilikushauri kwa lugha ngumu kidogo wakati uliopita, na naamini ulinipuuzia kama wadada wengi wapendavyo kufanya...ila sasa kama unaweza rudi nyuma na uyakumbuke yale maneno
As heading inavojieleza mwenzenu nashindwa kuyaelewa mapenzi. hivi bora nifurahi kwa muda fulani na nikose amani maishani mwotee ama vice versa is true? kwa sababu mpenzi wangu tunatofautiana interests kabsaa yani kila kukicha ni kugombana but kunako 6*6 ni fundi haswaa really ananimarrlliza na kuniacha hoi!
Sasa anataka akanitambulishe kwao.. Je nitaishije na mwanaume ambaye nahisi hanipi amani ninachofurahia kwake ni tuwapo kitandani tu na life is not only about kugegedana.? ata sijui yani..Ushauri pls!
mahusiano yenu yalianzaje bila kuwa na baadhi ya interest zinazofanana?
Interest zipi ambazo hazikufanana? Kila mmoja alikuwa na hamu ya ngono na mwenzake, na hiyo ndo kufanana kwa interest zao, ndio maana akasema, jamaa anamsasambua kweli kweli.
hapo chacha ndo panaponiumiza zaidi sex ina raha yake especially ukimpata mkunaji haswaa on the other side amani nayo ndo kila kitu thats why i'm in dillemma!
As far as comparative and absolute advantage are concerned, huyu dame anataka mumshauri namna ya kuadopt na kuadapt hali halisi aliyoko. Kwa hiyo mwambieni hivi, jamaa atabadilika siku moja, so asiteme bigijii
As heading inavojieleza mwenzenu nashindwa kuyaelewa mapenzi. hivi bora nifurahi kwa muda fulani na nikose amani maishani mwotee ama vice versa is true? kwa sababu mpenzi wangu tunatofautiana interests kabsaa yani kila kukicha ni kugombana but kunako 6*6 ni fundi haswaa really ananimarrlliza na kuniacha hoi!
Sasa anataka akanitambulishe kwao.. Je nitaishije na mwanaume ambaye nahisi hanipi amani ninachofurahia kwake ni tuwapo kitandani tu na life is not only about kugegedana.? ata sijui yani..Ushauri pls!
Nothing in love comes easier and direct like in a movie, if it does then lucky was on your side...and at the end,all must be paid the huge price(wivu,rudeness,mistreatment n.k vinatofautiana kipimo tu,kwa huyu mwingi kwa yule kidogo...lakini kwa yeyote vipo).Jamaa atakuwa na wivu tu,m-shape.nahitaji amani but at the same time ile nayo duh anyway i think its because kati ya niliokutana nao yeye ndio namuona the most katika sex na may be nahisi kumpata anaejua ni shidaaa.
And u'll never know unless I tell u..