hehehehe!!! kama yule muheshimiwa naniliii hajafikisha 70 kweli!!!? ila maelewano mazuri ndo mpango mzima na ndio muhimili wa mahusiano. hebu wanandoa mtuambie kama mnasex mara kwa mara. sie singles inaweza pita mpaka miezi sita bila mautamu. nafanya kukagua kifanywa changu kama bado kipo au kishadisapia.
MAybe its just me Karucee but I insist sex has never been the first thing that comes to mind when I think of a guy.
Ndugu yangu me naona unataka kufupisha maisha yako kwa ajili ya mwingine,huo tunaita ni upendo wa AGAPE.
Hakuna kitu kibaya kama kukosa amani moyoni mpenzi. kama sasa hivi tu hamjaoana unakosa amani mkioana itakuwaje? Ukiwa huna amani hata hamu ya kugegedana itakuwa haipo. achana naye tu kiroho safi tena me naona umechelewa sana kuachana naye. fanya hima ndugu.
okey lem think twice even thrice. tkanks
yes.. kwanini umeuliza ivo???
cute.....anyway kuna kitu inabidi ujifunze....ujue namna ya kujitambua na kujua weakness zako kuna possibility kubwa ukiachana na huyu ukabeba kimeo kingine zaidi ya hiki....kuna kitu kwenye personality za watu kinachowafanya wawe 'turned on' with the wrong people while utakuta so many right people wanakutaka....labda Mtambuzi anaweza kusaidia..
mahusiano yenu yalianzaje bila kuwa na baadhi ya interest zinazofanana?
kama maharage yako sio matamu weka tui la nazi. ww wafananisha harage la mafuta na kuku? tia tui uone kama libroila hujalitupa kule. utamu mpaka kisogoni.
Huu ulimwengu kila mmoja analia na lake