Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
- Thread starter
- #61
Kama ni kweli unachokipenda kwake ni lile tendo tu,endelea kutumia muda wako mwingi kutafakari hilo ili ujiridhishe kama utaubeba msalaba au la.Hivi kweli kabisa hamna kitu chochote kile unachofuraia ukiwa nae tofauti na icho?
hicho tu.. hakuna kingine.. yaani kuna wakati naamua kutaka kumuacha kabsaaa lakini yeye akiniambia tuachane nalia kwa uchungu sana na kumuomba msamaha wakati katika other life aspects sifurahii kabsaa na hilo suala linanikosesha amani ya maisha