Dillemma!

Dillemma!

mahusiano yenu yalianzaje bila kuwa na baadhi ya interest zinazofanana?

Sidhani kama wanapaswa kufanana interest but in order for the relationship to survive they have to respect the differences in their interest that's all they need/we all need
 
Nionavyo you are one hell of an UNGRATEFUL B. so full of your self unamuona mwenzio bado sanaaaaa, theonly area ambayo umeshindwa kumshusha thw guy ni expertise yake, kama Mh. Machemlikibatari. Ila sehemu zingine the guy doesnt stand a chance in your heart! Ushajitune mind yako hivo, huyu ni jogoo la shamba!
GIVE HIM A CHANCE, A FAIR CHANCE TO PROVE YOU WRONG! You will be surprised! Unaweza kumodify utakavyo awe! Usione waume za watu wanapiga pensi na Pollo tshirt wamekaa bar, na Samsung Note 3 kubwaa ukajiswme his is my dream man,, nywele saluni every week kusawazisha, ukajua walikutana hivi, walikutwa wanavaa wanichoma kumoyo na kuchomekea shir kwenye suruali, bia hawaonji, nywele afro! Wanawake wenzoo jasho limewatoka si utani!

Perfectly
 
As heading inavojieleza mwenzenu nashindwa kuyaelewa mapenzi, hivi bora nifurahi kwa muda fulani na nikose amani maishani mwotee ama vice versa is true?

Kwa sababu mpenzi wangu tunatofautiana interests kabsiaa yani kila kukicha ni kugombana but kunako 6*6 ni fundi haswaa really ananimarrlliza na kuniacha hoi!.

Sasa anataka akanitambulishe kwao, je nitaishije na mwanaume ambaye nahisi hanipi amani ninachofurahia kwake ni tuwapo kitandani tu na life is not only about kugegedana.?

Hata sijui yani ushauri pls!

HV unajua unakua mbinafsi Wa hali ya juu
Picture this way
Nikikuuliza unataka a change afuate interest zako its obvious what u want but y don't u follow his?
Tatizo ya Mapenz ya maigizo ni hapa we all look for similarities and not differences
When u start respecting the differences u guys have is the only survival u have stop thinking like others (mapenz ya show offs) think differently n u guy will come to understanding
 
Nadhani ungepitia post zote uone jinsi alivyoelezea na kujibu maswali ya watu..... In fact sio interest ila tabia za huyu bwana mwanamke mwenye akili timamu hawezi juvumilia mbaya zaidi hakosoleki, harekebishiki....
 
Nakubaliana na ww ni kweli kuna baadhi ya tabia z all rigid kama hvyo but nadhani she meant interest na sio tabia all all those anajaribu kujustify her interest sababu ingekua ni tabia basi toka mwanzo angesema ni tabia na sio interest u know
she is hiding smthng is what I see from my end na hzo majibu yake ya comments
 
cute.....anyway kuna kitu inabidi ujifunze....ujue namna ya kujitambua na kujua weakness zako kuna possibility kubwa ukiachana na huyu ukabeba kimeo kingine zaidi ya hiki....kuna kitu kwenye personality za watu kinachowafanya wawe 'turned on' with the wrong people while utakuta so many right people wanakutaka....labda Mtambuzi anaweza kusaidia..
The Boss umeniita na nimeitikia wito wako.
Niliwahi kuweka uzi unaweza kujibu swali lake na wenzie walijaribu kuisemmea mioyo yao, akiipitia anaweza kupata jibu lakini namshauri tu achanganye na zake

https://www.jamiiforums.com/mahusia...nayekufikisha-au-mwanaume-mwenye-muafaka.html
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na ww ni kweli kuna baadhi ya tabia z all rigid kama hvyo but nadhani she meant interest na sio tabia all all those anajaribu kujustify her interest sababu ingekua ni tabia basi toka mwanzo angesema ni tabia na sio interest u know
she is hiding smthng is what I see from my end na hzo majibu yake ya comments

Nadhan alikosea tu kiswahili.....lakini zile tabia alizosema kwa upande mwingine ni kama interest ila mimi nimezidefina kama tabia
 
Back
Top Bottom