Dimba la Taifa: Yanga Africans yatakata kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar

Naona [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Wanautafuta Kwa Tochi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hapana muda mrefu nilikuwa naangalia uzi ulikuwa bado haujaanzishwa hivyo nimejikuta muda huu naingia ndio nakuta ushaanzishwa.


We best mie unadhani ni Mshabiki muoga basi. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Muoga sana wewe best na unaonekana wakati wa magoli
 
Ili Ujue Kama Kama Commentators Wa Kibongo ni Mbuzi basi Wasikilize tu Wanavyotangaza Mpira.

Akinawa Beki Wa Yanga Utasikia Wanasema "HAKUKUSIDIA MPIRA UMEFUATA MKONO"...

Lakini Penalty waliyopiga Yanga Wameisifu na Hawakuona Kuwa Mpira Umefuata Mkono... Disgusting...!
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Polee mkuu...
 
Hii ndiyo mechi ya mwisho kwa Yanga ambayo walau ni nyepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…