Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Wacha kabisa Mtani. Tunazidi kuwasogeleaNaona leo una furaha kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kabisa Mtani. Tunazidi kuwasogeleaNaona leo una furaha kidogo.
Pole sana Mtani wangu. Usizime bana [emoji12] [emoji12][HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kashamaliza Kazi Wacha Nizime Data.
Ahsante sana Kaka.Hongera Dada
Upo Taifa Nin Dada AnguAhsante sana Kaka.
Point tatu sasa, sio mbaya ligi iishe na amsha amsha! Kama sisi msimu uliopita tuliwafukuza mpaka dk ya mwisho mkashinda kwa tofauti ya magoli.Wacha kabisa Mtani. Tunazidi kuwasogelea
Hapana. Nipo home tu nacheck kwenye TvUpo Taifa Nin Dada Angu
Si ni wewe mwenyewe ama nimesoma vibaya?We mleta Uzi VP, mbona uendelei kutuletea updates...?
HahahaDuuuuuuhh Had Ww Jaman
Ila inapendeza sana aisee ikiwa na mfukuzano kama huu.Point tatu sasa, sio mbaya ligi iishe na amsha amsha! Kama sisi msimu uliopita tuliwafukuza mpaka dk ya mwisho mkashinda kwa tofauti ya magoli.
Tulia kwanzaKumbuka kagera sio Township Rollers.
Hongera BhanaHahaha
Ndio mkuu
Niko na damu ya kijaniHaha kumbe wew pia mwenzetu
Nimetulia kama cucomber!!Tulia kwanza
Mbona kama haitoki rohoni....asanteHongera Bhana