Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye magoli msahau, ombeni dua mnyama apoteze, goli zake hamuwezi mkuta. Labda muwaombe na Azam za kwao.Goli nyingi zitatusaidia baadae
Safari hii haitatokea.Bado point 3....manara atajinyonga akikosa ubingwa msimu huu
Simba mbio ndefu hamziwez nyieSafari hii haitatokea.
Hahahaaaa. Waambie ukweli hao.Simba mbio ndefu hamziwez nyie
Hii draw ya wazi kabisaMsisahau kesho chama la wana simba vs mtibwa sukari, hapa hapa nyumbani kwetu yaan (UWANJA WA JAMHURI)
Tutakuwepo hapa Mkuu na wewe usikose.Msisahau kesho chama la wana simba vs mtibwa sukari, hapa hapa nyumbani kwetu yaan (UWANJA WA JAMHURI)
Kama wewe ni mcheza kamari weka hata nyumba hapo..game draw hiyoMsisahau kesho chama la wana simba vs mtibwa sukari, hapa hapa nyumbani kwetu yaan (UWANJA WA JAMHURI)
[emoji28] [emoji28]yanga piga nshomile goli NNE..waende wakapigane katerero
Simba anachomwa kamoja tuMsisahau kesho chama la wana simba vs mtibwa sukari, hapa hapa nyumbani kwetu yaan (UWANJA WA JAMHURI)
Ni mtazamo wakoHii draw ya wazi kabisa
Ni mtazamo wakoSimba anachomwa kamoja tu
haaaa!Pole sana Mtani wangu. Usizime bana [emoji12] [emoji12]
Tutakua pamoja mwanzo mwishoTutakuwepo hapa Mkuu na wewe usikose.
Kitamtosha kabisa iko. Hahaahaaa.Simba anachomwa kamoja tu