Dimba la Taifa: Yanga Africans yatakata kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar

Dimba la Taifa: Yanga Africans yatakata kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar

Afadhali aiseeee. Mpira umeisha sasa. Hii ni salamu kwenu Watani zetu hivyo mjipange kisawasawa.

La sivyo kombe mtazidi kuliona kwenye magazeti tu. Lol
 
Back
Top Bottom