Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Kwani hajaushika yule beki au Tv yako imeonyeshaje Mtani?Naona mnabebwa..🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Kwani hajaushika yule beki au Tv yako imeonyeshaje Mtani?Naona mnabebwa..🙂
Hapana muda mrefu nilikuwa naangalia uzi ulikuwa bado haujaanzishwa hivyo nimejikuta muda huu naingia ndio nakuta ushaanzishwa.Limefungwa goli umekuja nduki
Haaminiki yule. Bora hajapiga.Hahaha chirwa aliogopa kupiga penalt leo
Muoga sana wewe best na unaonekana wakati wa magoliHapana muda mrefu nilikuwa naangalia uzi ulikuwa bado haujaanzishwa hivyo nimejikuta muda huu naingia ndio nakuta ushaanzishwa.
We best mie unadhani ni Mshabiki muoga basi. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Wacha niamini unachokiamini best.Muoga sana wewe best na unaonekana wakati wa magoli
Leo upo kimya sanaKila la kheri timu yangu pendwa kabisa.
"daima mbele nyuma mwiko"
Hahahaaaa. Mpira kama siuelewi elewi hivi.Leo upo kimya sana
Hahaha kumbe unafuatilia...nikadhan upo majukwaa pendwaHahahaaaa. Mpira kama siuelewi elewi hivi.
Hapana nafuatilia Swahiba.Hahaha kumbe unafuatilia...nikadhan upo majukwaa pendwa
Polee mkuu...Ili Ujue Kama Kama Commentators Wa Kibongo ni Mbuzi basi Wasikilize tu Wanavyotangaza Mpira.
Akinawa Beki Wa Yanga Utasikia Wanasema "HAKUKUSIDIA MPIRA UMEFUATA MKONO"...
Lakini Penalty waliyopiga Yanga Wameisifu na Hawakuona Kuwa Mpira Umefuata Mkono... Disgusting...!
😀 😀 😀 😀 😀
Dk ya 70 bado tunaongoza jamaani.
Yanga ndio tunaongoza Mkuu kwa goli 01Mnaongoza ninyi kina nani na mnaongoza kwa goli ngapi?.
Hahaaaaa.Polee mkuu...