Dimpoz ni ugonjwa?

Anatomically dimples hutokana na muscle ya kwenye shavu inayoitwa "zygomaticus major" kua na bellies mbili na kuacha gap katikati ambalo hutokea kama kishimo juu ya ngozi, kwa wasio na dimples zygomaticus major inakua na belly moja tu iliyo flat hivyo hamna gap
 
Ni kwanini kwenye shavu tu na isiwe sehem nyingine mkuu
 
mmh nataka nichongeshe dimples ni hatua zipi nifate ?
 
Ni kwanini kwenye shavu tu na isiwe sehem nyingine mkuu
Zipo muscle nyingine pia zenye bellies mbili ila huwez kuona effect zao za vishimo direct kutokana na position zao mfano kwenye shingo kuna "digastric muscle" ina belly mbili lakini huwezi kuona kile ki gap kwa juu ya ngozi kutokana na muingiliano wa structure nyingi pande zile
 
Asante sana mkuu
 
Thats me.
 

Namba 7 sio kweli kua eti mwenye Dimples anapendwa sana na Mwenyezi Mungu.
 
Mtoto akizaliwa kama hana unaweza ziweka ukitaka. Utegemea na mzazi anapendaje kama akiona hana na anazipenda basi anamwekea mtoto.

Sawa tu na kumtengeneza mtoto akawa na wowowo na shepu nzuri kiunoni hadi kwa mahips bila kusubiria kama litakota au halitatoka. Napita
 
mtoto anawekewaje hizo dimpoz
 
hebu ukuje hapa unielekeze mdada mzuri
 
Dimpoz ni malformation ni ulemavu, hata mwanya pia

Malformation: A structural defect in the body due to abnormal embryonic or fetal development
 
Mwenye dimpoz anaposmile anaejua malava styleeee...dimpoz ni noma!! kwangu is the big turn on.
 
Yap kuna sehemu nilisoma walisema ni disorder ya tissues in short sio kitu normal, I trust the source by the way
 
Kama ni ugonjwa basi mwanya ni kilema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…