Dimpoz ni ugonjwa?

Dimpoz ni ugonjwa?

kwahiyo mimi na kipenzi changu Mwanamuziki na Kiongozi wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JB MPIANA bila kumsahau mchezaji wa zamani na mtoto wa anfield Liverpool F.C. Michael Owen, aliyekuwa kiungo na nahodha wa Arsenal Patrick Viera, Rais wa sasa wa DRC kijana Joseph Kabila, Mwanamuziki wa Bongo Flavor Ommy Dimpoz na hayati Baba wa Taifa la Afrika ya Kusini Nelson Mandela ( Tata Madiba ) sisi ni WANAWAKE? nakuomba utuombe RADHI mkuu upesi sana mkuu. hata sisi hatukuziomba hizi DIMPLES mkuu na hatupo wengi tulionazo hivyo siyo kosa letu na pengine jilaumu wewe na bila kumsahau @nifah kwanini MISHAVU yenu haina DIMPLES.
Hata Mimi Mkuu, na mademu kibao wanataka niwazalishe watoto eti niwarandishe na Dimples. Aisee kweli tupo wachahche tuliyobarikiwa katka hili.
 
kwahiyo mimi na kipenzi changu Mwanamuziki na Kiongozi wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JB MPIANA bila kumsahau mchezaji wa zamani na mtoto wa anfield Liverpool F.C. Michael Owen, aliyekuwa kiungo na nahodha wa Arsenal Patrick Viera, Rais wa sasa wa DRC kijana Joseph Kabila, Mwanamuziki wa Bongo Flavor Ommy Dimpoz na hayati Baba wa Taifa la Afrika ya Kusini Nelson Mandela ( Tata Madiba ) sisi ni WANAWAKE? nakuomba utuombe RADHI mkuu upesi sana mkuu. hata sisi hatukuziomba hizi DIMPLES mkuu na hatupo wengi tulionazo hivyo siyo kosa letu na pengine jilaumu wewe na bila kumsahau @nifah kwanini MISHAVU yenu haina DIMPLES.
labda mna tabia za kike
 
Kama mwanya ni kilema mbona uwa watoto wanarithi kutoka kwa wazazi,Kama Fa na mtoto wake Ana mwanya.
 
kwa kukusaidia tu na kwa faida ya wengineo humu ni kwamba hizo dimples au mtu mwenye dimples awe ni Mwanaume au Mwanamke basi jua ana vitu au characters hizi kubwa zifuatazo na ambazo Mwenyezi Mungu huwa hazitoi tu hovyo hovyo hata kwa " mangumbaru " wengine:

  1. mwenye dimples huwa na BAHATI sana maishani.
  2. mwenye dimples huwa na MVUTO mkubwa.
  3. mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA sana na mno ( Charismatic ).
  4. mwenye dimples huwa na UTAMU usio na kifani katika TENDO zima la ndoa.
  5. mwenye dimples huwa na USHAWISHI mkubwa mno popote alipo.
  6. mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA kupita kiasi na Mwenyezi Mungu.
  7. mwenye dimples huwa ni mtu MKARIMU, MCHESHI na asiye na MAKUU.
ukizikataa hizo basi ujue unataka tu kuleta " ligi " isiyo na mdhamini ila ukweli ndiyo huo. asante sana Mwenyezi Mungu kwa UUMBAJI wako huu.

Wale waliokonda huwezijua kama anazo au lah, hata kama anazo. ila nimekuelewa somehow...ngoja nivute picha kwanza........
 
Back
Top Bottom