Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Hata Mimi Mkuu, na mademu kibao wanataka niwazalishe watoto eti niwarandishe na Dimples. Aisee kweli tupo wachahche tuliyobarikiwa katka hili.kwahiyo mimi na kipenzi changu Mwanamuziki na Kiongozi wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JB MPIANA bila kumsahau mchezaji wa zamani na mtoto wa anfield Liverpool F.C. Michael Owen, aliyekuwa kiungo na nahodha wa Arsenal Patrick Viera, Rais wa sasa wa DRC kijana Joseph Kabila, Mwanamuziki wa Bongo Flavor Ommy Dimpoz na hayati Baba wa Taifa la Afrika ya Kusini Nelson Mandela ( Tata Madiba ) sisi ni WANAWAKE? nakuomba utuombe RADHI mkuu upesi sana mkuu. hata sisi hatukuziomba hizi DIMPLES mkuu na hatupo wengi tulionazo hivyo siyo kosa letu na pengine jilaumu wewe na bila kumsahau @nifah kwanini MISHAVU yenu haina DIMPLES.