Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwanini kwenye shavu tu na isiwe sehem nyingine mkuuAnatomically dimples hutokana na muscle ya kwenye shavu inayoitwa "zygomaticus major" kua na bellies mbili na kuacha gap katikati ambalo hutokea kama kishimo juu ya ngozi, kwa wasio na dimples zygomaticus major inakua na belly moja tu iliyo flat hivyo hamna gap
Zipo muscle nyingine pia zenye bellies mbili ila huwez kuona effect zao za vishimo direct kutokana na position zao mfano kwenye shingo kuna "digastric muscle" ina belly mbili lakini huwezi kuona kile ki gap kwa juu ya ngozi kutokana na muingiliano wa structure nyingi pande zileNi kwanini kwenye shavu tu na isiwe sehem nyingine mkuu
Asante sana mkuuZipo muscle nyingine pia zenye bellies mbili ila huwez kuona effect zao za vishimo direct kutokana na position zao mfano kwenye shingo kuna "digastric muscle" ina belly mbili lakini huwezi kuona kile ki gap kwa juu ya ngozi kutokana na muingiliano wa structure nyingi pande zile
Thats me.kwa kukusaidia tu na kwa faida ya wengineo humu ni kwamba hizo dimples au mtu mwenye dimples awe ni Mwanaume au Mwanamke basi jua ana vitu au characters hizi kubwa zifuatazo na ambazo Mwenyezi Mungu huwa hazitoi tu hovyo hovyo hata kwa " mangumbaru " wengine:
ukizikataa hizo basi ujue unataka tu kuleta " ligi " isiyo na mdhamini ila ukweli ndiyo huo. asante sana Mwenyezi Mungu kwa UUMBAJI wako huu.
- mwenye dimples huwa na BAHATI sana maishani.
- mwenye dimples huwa na MVUTO mkubwa.
- mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA sana na mno ( Charismatic ).
- mwenye dimples huwa na UTAMU usio na kifani katika TENDO zima la ndoa.
- mwenye dimples huwa na USHAWISHI mkubwa mno popote alipo.
- mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA kupita kiasi na Mwenyezi Mungu.
- mwenye dimples huwa ni mtu MKARIMU, MCHESHI na asiye na MAKUU.
kwa kukusaidia tu na kwa faida ya wengineo humu ni kwamba hizo dimples au mtu mwenye dimples awe ni Mwanaume au Mwanamke basi jua ana vitu au characters hizi kubwa zifuatazo na ambazo Mwenyezi Mungu huwa hazitoi tu hovyo hovyo hata kwa " mangumbaru " wengine:
ukizikataa hizo basi ujue unataka tu kuleta " ligi " isiyo na mdhamini ila ukweli ndiyo huo. asante sana Mwenyezi Mungu kwa UUMBAJI wako huu.
- mwenye dimples huwa na BAHATI sana maishani.
- mwenye dimples huwa na MVUTO mkubwa.
- mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA sana na mno ( Charismatic ).
- mwenye dimples huwa na UTAMU usio na kifani katika TENDO zima la ndoa.
- mwenye dimples huwa na USHAWISHI mkubwa mno popote alipo.
- mwenye dimples huwa ni mtu ANAYEPENDWA kupita kiasi na Mwenyezi Mungu.
- mwenye dimples huwa ni mtu MKARIMU, MCHESHI na asiye na MAKUU.
hebu ukuje hapa unielekeze mdada mzuriMtoto akizaliwa kama hana unaweza ziweka ukitaka. Utegemea na mzazi anapendaje kama akiona hana na anazipenda basi anamwekea mtoto.
Sawa tu na kumtengeneza mtoto akawa na wowowo na shepu nzuri kiunoni hadi kwa mahips bila kusubiria kama litakota au halitatoka. Napita
Asante GoogleDimpoz ni malformation ni ulemavu, hata mwanya pia
Malformation: A structural defect in the body due to abnormal embryonic or fetal development
Ahsante my private doctorAsante Google
ohoo am a MAN too, sorry!