Dimpoz ni ugonjwa?

Hata Mimi Mkuu, na mademu kibao wanataka niwazalishe watoto eti niwarandishe na Dimples. Aisee kweli tupo wachahche tuliyobarikiwa katka hili.
 
labda mna tabia za kike
 
Daah asante MUNGU ..MANA HUWA WANANICHEKA OOH DIMPOZ KAMA DEM CJUI NN...KUUMBEE TUMEBARIKIWA
 
Kama mwanya ni kilema mbona uwa watoto wanarithi kutoka kwa wazazi,Kama Fa na mtoto wake Ana mwanya.
 

Wale waliokonda huwezijua kama anazo au lah, hata kama anazo. ila nimekuelewa somehow...ngoja nivute picha kwanza........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…