huyu dada nampendaga
Ha ha ha na wewe huchelewi.....ile tuzo za watu walimsifia kapendeza kuna mtu aka comment kuwa nguo ndo nzuri ila zama hana damu ya nguo.Alimblock
Sasa kwa nini anasema hana uwezo ilihali anajua fika zama ni kitu cha ruge anamshusha cheo zama
Ahahaha.. yap kana uzuri flan ivi, ukitaka kujua uzur wa zamarad mwangalie mtoto wake.... ila kembamba sana sijui tayar ARV at work
Hivi Ruge hanaga mke wa ndoa?
Wanawake wembamba warefu huwa na roho inayokaribiana na shetan
Kuwa kiburudisho cha Ruge akimpi mandate yakumfukuza kazi Dina isipokuwa ana influence kubwa huyo Zama....coz Dina hajaajiriwa na Zama.
Ila hivi vibirudisho vya bosi vinakuwaga vitata
Kwenye swala la kupigwa tu hawajambo nguo za kushona china watu wanauziwa mamilion si bora ushonewe na madizaina wa bongoAhahahah ila siku ile alijitahid aiseeh , nasikia alinunua lile gaun milion moja
Tusubiri shamsa ford lazima huu ugomvi ausike maana alidai atakae gombana na zama pia nae kagombana nae
Wafanyakaz wa cloudz wengi wanamaumivu moyoni ila ukiwasikiliza wakiwa kwenye vipind unaweza dhania ndio wanafanyakaz wanao-enjoy kuliko wafanyakaz wowote wa radio tz...
Huyo kimbaumbau kachanganyikiwa alijua kuzaa ndo kuolewa. Kazaa watoto wamefatana kama mapacha na bado hadi leo hata pete ya uchumba hana.
Usiwe kama umekurupushwa huko ulipokuwa unataka niyamwage hapa niwe kama mangeWewe umejuaje kuwa wafanyakazi wengi wa Clouds wana maumivu moyoni?
Je, walikwambia kuwa wana maumivu moyoni?
Au wewe uliyaona hayo maumivu yao ya moyoni?
Au hujui bali unadhani tu kuwa wana maumivu moyoni?
Na unajua tofauti ya kudhani na kujua?
Halafu wengi ni wangapi?
Wewe umejuaje kuwa wafanyakazi wengi wa Clouds wana maumivu moyoni?
Je, walikwambia kuwa wana maumivu moyoni?
Au wewe uliyaona hayo maumivu yao ya moyoni?
Au hujui bali unadhani tu kuwa wana maumivu moyoni?
Na unajua tofauti ya kudhani na kujua?
Halafu wengi ni wangapi?
SHamsa mzuri yule dah, sema tu halinaga akil lile