Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

Ha ha ha na wewe huchelewi.....ile tuzo za watu walimsifia kapendeza kuna mtu aka comment kuwa nguo ndo nzuri ila zama hana damu ya nguo.Alimblock

Ile nguo haikua nzuri hyo skirt ka net vile labda kwa juu ilikua nzuri. Nguo za kitoto hyo.
 
Ha ha ha na wewe huchelewi.....ile tuzo za watu walimsifia kapendeza kuna mtu aka comment kuwa nguo ndo nzuri ila zama hana damu ya nguo.Alimblock

Ahahahah ila siku ile alijitahid aiseeh , nasikia alinunua lile gaun milion moja
 
Ahahaha.. yap kana uzuri flan ivi, ukitaka kujua uzur wa zamarad mwangalie mtoto wake.... ila kembamba sana sijui tayar ARV at work

Amna bana may who know but kako simple na wembamba wake hautishi nahisi hakatawahi kuzeeka
 
Kuwa kiburudisho cha Ruge akimpi mandate yakumfukuza kazi Dina isipokuwa ana influence kubwa huyo Zama....coz Dina hajaajiriwa na Zama.
Ila hivi vibirudisho vya bosi vinakuwaga vitata

Eti huyu bwana hanaga mke??
 
Wafanyakaz wa cloudz wengi wanamaumivu moyoni ila ukiwasikiliza wakiwa kwenye vipind unaweza dhania ndio wanafanyakaz wanao-enjoy kuliko wafanyakaz wowote wa radio tz...

Wewe umejuaje kuwa wafanyakazi wengi wa Clouds wana maumivu moyoni?

Je, walikwambia kuwa wana maumivu moyoni?

Au wewe uliyaona hayo maumivu yao ya moyoni?

Au hujui bali unadhani tu kuwa wana maumivu moyoni?

Na unajua tofauti ya kudhani na kujua?

Halafu wengi ni wangapi?
 
Huyo kimbaumbau kachanganyikiwa alijua kuzaa ndo kuolewa. Kazaa watoto wamefatana kama mapacha na bado hadi leo hata pete ya uchumba hana.

Wewe umejuaje kuwa yeye alijua kuwa kuzaa ndo kuolewa?

Kama hana mpango wa kuwa kwenye ndoa je?

Na umejuaje kuwa hajachumbiwa?

Kwani kila anayechumbiwa ni lazima avae pete?
 
Wewe umejuaje kuwa wafanyakazi wengi wa Clouds wana maumivu moyoni?

Je, walikwambia kuwa wana maumivu moyoni?

Au wewe uliyaona hayo maumivu yao ya moyoni?

Au hujui bali unadhani tu kuwa wana maumivu moyoni?

Na unajua tofauti ya kudhani na kujua?

Halafu wengi ni wangapi?
Usiwe kama umekurupushwa huko ulipokuwa unataka niyamwage hapa niwe kama mange
 
Wewe umejuaje kuwa wafanyakazi wengi wa Clouds wana maumivu moyoni?

Je, walikwambia kuwa wana maumivu moyoni?

Au wewe uliyaona hayo maumivu yao ya moyoni?

Au hujui bali unadhani tu kuwa wana maumivu moyoni?

Na unajua tofauti ya kudhani na kujua?

Halafu wengi ni wangapi?

Dina alisema mwenyewe kuwa tusiwaone wanatangaza uku wana tabasamu, moyoni mwao hawana amani, wanavuja damu, so yupo sahihi, na uenda kawasemea na wengine ambao bado wanaficha maumivu yao na anawajua
 
Back
Top Bottom