Dingi jau sana huyu 😆😆 (WWE WrestleMania 2025) Day 1

Dingi jau sana huyu 😆😆 (WWE WrestleMania 2025) Day 1

Daaah! Inasikitisha sanaa kuona mtu mzima mwenzangu anaacha majukumu yote anakaa sebuleni anaangalia hizi katuni na anafurahi kabisa.
 
Mtu anaiponda pro wrestling halafu unakuta huyohuyo ni muangaliaji mzuri tu wa movies na tv series 😂😂😂😂
 
Mtu anaiponda pro wrestling halafu unakuta huyohuyo ni muangaliaji mzuri tu wa movies na tv series 😂😂😂😂
Nilitaka kuandika hivi pia
Yote ni acting sasa sijui wanajudge WWE kwa lipi 🤣
 
Mtu anaiponda pro wrestling halafu unakuta huyohuyo ni muangaliaji mzuri tu wa movies na tv series 😂😂😂😂
Mkuu hii comment ndo nilikua najiandaa kuiandika. Hii ni burudani kama mtu anaona haimfai tena unakaa pembeni tu.

Mimi niliachana na mieleka baada ya ITV kuacha kuonesha, tulivoingia zama za decoders access ya TV ikawa limited sana kwangu nikapoteza interest mazima.

Japo malalamikobya kupungua mvuto nayaona sana wadau wakilalamika.
 
Daaah! Inasikitisha sanaa kuona mtu mzima mwenzangu anaacha majukumu yote anakaa sebuleni anaangalia hizi katuni na anafurahi kabisa.
Unajua unakuwaga live muda gani hadi mtu uwe na majukumu muda huo?. Kuna wazee bado tunaufaidi sana tu.
 
Mbona movie ni scripted na unaangalia!?..zamani palikua na jukwaa(maigizo jukwaani) na tuliangalia,tulingoja kwa hamu
Lete ushahidi kama movie huwa naangalia?
Huo utoto wotee mwisho kuutazama ni 2009
Heri niangalie vichekesho nikijua wazi hiki ni kichekesho.

Mkuu mimi naweza lala hadi saa7-8 usiku nikiwa naangalia wanyama hasa Nat geo wild napenda sana.

Huku bakieni ninyi hatupangiani
 
Pasaka njema pia Uncle.

Unapiga panapouma aisee kikorea kisifananishwe na mieleka😂😂😂😂😂 Namba ile ile ya yule wakala😂😂
Anko heri ya Pasaka... Kinywaji nitume kwenye namba ipi?

Season za kikorea/kichina/kituruki n.k. hazina tofauti na mieleka, endelea kujimwayamwaya.
 
Kama bado kuna mtu mzima anaangalia huu ujinga basi kuna tatizo kubwa kwenye akili yake mara ya mwisho kuangalia ilikuwa 2009

Wewe utakua na matatizo, kila mtu aachwe afurahie kinachompa furaha, mimi leo sipendi huu mchezo na huwa haya siutazami, ila ni mpenzi wa series na movies ambazo zenyewe pia danganya na maigizo, hata hivyo siwezi kuwasuta wanaofuatlia huu mchezo.
 
Ninayo matatizo makubwa mno lakini pamoja na yote siwezi kuangalia mieleka tena.

Kitu kinapangwa kitafanyika vipi na Nani awe mshindi wewe unaona watu wameumizanaaa kumbe hakuna kitu kama hicho. Nani huangalia mieleka akijua ni michezo isiyo halisi?

Wengi karibia(makisio) 98% wana amini ni halisi.
 
Tangu nikiwa mdogo sikuwahi kuuelewa huu mchezo, watu walikua wanaupenda balaa ila mi style yao ya kupigana nilikua naon ya kiwaki sana na hainivutii.

Nilivokuja kujua kua ni maigizo ndio nikahitimisha kua ni mchezo wa kiwaki.
 
Back
Top Bottom