Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 4,576
- 1,398
Kila kitu na zama zake.Mkuu hii comment ndo nilikua najiandaa kuiandika. Hii ni burudani kama mtu anaona haimfai tena unakaa pembeni tu.
Mimi niliachana na mieleka baada ya ITV kuacha kuonesha, tulivoingia zama za decoders access ya TV ikawa limited sana kwangu nikapoteza interest mazima.
Japo malalamikobya kupungua mvuto nayaona sana wadau wakilalamika.
Kwa wale waliokulia enzi za kina hulk hogan, piper n.k kadhalika wataona enzi za kina John cena, CM punk, Randy hazina mvuto, na hawa nao pia wataona enzi za kina Roman reigns, seth rollins nk hazina mvuto.
Huko mambele fanbase still ni kubwa tu na content pia haijapoa kiviile,ni vile tu wale favourites wanakuwa hawapo tena.