Dingi jau sana huyu πŸ˜†πŸ˜† (WWE WrestleMania 2025) Day 1

Kila kitu na zama zake.

Kwa wale waliokulia enzi za kina hulk hogan, piper n.k kadhalika wataona enzi za kina John cena, CM punk, Randy hazina mvuto, na hawa nao pia wataona enzi za kina Roman reigns, seth rollins nk hazina mvuto.

Huko mambele fanbase still ni kubwa tu na content pia haijapoa kiviile,ni vile tu wale favourites wanakuwa hawapo tena.
 
Mkuu wewe waga unaangalia documentaries tu na mambo ya geopolitics? Huwa haufatilii movies, series?

Hiyo 98% umeipatapata vipi? Umetumia data zipi?

Huku bongo ndio watu hamfuatilii tu ila huko nje watu wanaelewa kabisa kwamba vitu viko scripted (na ni tasnia kabisa inaitwa pro wrestling/mieleka ya kuigiza) lakini hiyo haiwazuii kuangalia mieleka kama tu ambavyo mtu anajua kabisa kwamba movies ni tungo tu na hakuna anayekufa kwenye hizo movies ila bado watu wanalipia hela kwenye cinema kwenda kuangalia.
 
Kina roman walivoanza hata mimi nilikua shabiki ndo dakika za mwisho naagana na wwe🀣
 
He jamani kumbe ni maigizo, mbona Hadi watu wapo uwanjani huko wanatazama?
 
Reactions: Lax
He jamani kumbe ni maigizo, mbona Hadi watu wapo uwanjani huko wanatazama?
Movies huko ulaya watu wanajazana cinemas, ndo hoja hapa stand up comedy viwanja vinajaa, ile ni burudani na ina mashabiki wake
 
Hata Rambo na Shwaziniga tuliamini ni makomandoo kweri kweri na waendesha ndege za kivita machachari kumbe mapoyoyo tu.
 
Nimegundua shida ya watu wanafikiri mieleka kuwa maigizo ni siri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mambo yapo wazi kabisa haya na ile ni tasnia maalum ya mieleka ya kuigiza (Professional Wrestling)

Sasa watu wanafikiri ile ni michezo ka ya olympic πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwaka 2011 niliwauliza wamarekani 2 waliokuja Tanzania kuhusu mieleka, wakanithibitishia kabisa kuwa ni script tu, kama filamu za kutunga, na sio ukweli wowote.
Kumbe ndio maana kwenye betting haupo
 
Huo mchezo niliacha kabisa kuufuatilia.

Zamani nilijua ni Mchezo wa Ukweli kumbe ni danganya toto.

Yani ni Igizo kama igizo
Ila Kuna muda kama Wana bifu ya ukweli kinachotokea nikukandana kiukwelikweli sio maigizo
 
Tumewaachia nyie machoko..!!
Umezaliwa Mwanaume unajifanya mwanamke. Kuwa shoga kuna kusaidia nini? Au unataka sisi wanaume wa JF siyo wote mafala. Tunajua wewe mwanaume ila siyo riziki. Utahangaika sana ila kizuri tunakuumbua. Hata mwandiko wako unaonesha ni mwanaume umeshindwa kuigiza uanamke. Tatizo njaa inakufanya uone ukiwa Mwanamke angalau utapata pata kitu. Nataka kila unaponiona komeo la chuma moyo wako upate shida.
 
Hilo chokooo 😹😹

Mbwa wangu washaanza kufanya mazoezi lini unawaletea sasa wana uchu sana na wewe..!!
 
Nimeacha kufatilia huu mchezo kwenye mwaka 2007 wakati nipo o-level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…