Mpenzi wa Islam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 2,295
- 7
Mkuu Admini mimi mimi naona hizi thread za Dini na Imani zifutwe then tuanzishe thred ya Utamaduni kwani zinapoteza Muda wa watu kwa kkulumbana na mila za waarabu na wayahudi.Sisi Dini zetu zimezikwa kama utamaduni wa Mtanznaia unavyozikwa na utamaduni wa kimarekani hivi sasa,Tukae tukijua kuwa hatuwezi kuendelea kama hatutakuwa na utamaduni wetu sasa hii Midini yenu mi naona inawazingua tu na kuwapotezea muda,naomba tuachane nayo. Mimi nilikuwa Mkatoliki then nikaamia usabato then Uislam na mwisho sasa nipo na dini ya Nkosi ambayo ni 100% yangu mwenyewe na mungu wangu,awe wa udongo haya,awe wa dhahabu ili nikipigika namuuza (si unaona mungu ananisaidia) haya.... ila sio hiyo midini yenu. MNABOA NA MALUMBANO YASIYO NA MWISHO
ONYO sitaki malumbano.

dini ya Nkosi ambayo ni 100% yangu mwenyewe na mungu wangu,awe wa dhahabu ili nikipigika namuuza (si unaona mungu ananisaidia)
Wana JF, hivi imekuwaje, kila nikiamka threads za dini zinazidi kumiminika tu... na ingekuwa bora kweli kama hizi threads zingekuwa si za kukashifiana katika mambo haya ya imani kama inavyoonekana hivi sasa, maana kuna wengine katika mambo haya wanamisimamo mikali usiombe, kujadiliana nao ni kama kupoteza muda haswaa. Hivi sasa, mengi ninayo yasoma ni kuwa dini hii bora zaidi ya hii, dini hii ina mtume bora kuliko dini ile, sherehe hii haina maana kuliko sherehe ile, tukio hilo ni la uongo na hili ni la kweli... mimi nimeanza kuchoshwa na haya mambo. Hivi hawa watu ni WAUMINI wa dini kweli ambazo nyingi naamini zinataka uvumilivu, kusameheana na kufundishana yaliyo mema?!
Unajua nini, kama dini ndizo ziko hivi mimi bora nirudi kwenye dini za makwetu tu, dini za Kibantu kabla Afrika yetu haija vamiwa na wageni na kututawala. Mfano wa dini zile za akina Kinjeketile na akina Mwanamalundi... maana hizi ambazo naziona hazina asili ya Kibantu zinazidi kuandamana kila moja zidi ya nyingine katika kutafuta IMANI YA KWELI.
Kwa kweli ningependa kabisa forum ya dini iwepo kwa ajili ya kubadilishana mawaidha, kutafakari na kupashana habari kuhusiana na imani tulizo nazo, na wale wasio amini kitu basi kusoma habari za imani hizi na wao kuwa na maoni yao BILA KUTUKANANA.
Lakini kwa sasa hiyo sehemu ya dini imebadilika ghafla na kufanywa uwanja wa kugombania waumini. Kwa kweli miye naona hili si jema hapa JF. Hivyo basi naomba ushauri wenu kwa kupiga kura;
JE, SEHEMU YA DINI IFUNGWE ISIFUNGWE au Ifanyiwe marekebisho?!
Ukichagua IREKEBISHWE, naomba uendelee kutoa mawazo yako kwenye thread hii namna ya kufanya marekebisho hayo.
Nitamwomba Admin atengeneze Poll, ili tupige kura zetu kama hili linafaa.
Naomba kutoa hoja. Ahsanteni.
SteveD.
Jim,
Ni vizuri kusema kwa niaba yako mwenyewe.Unless you provide specifics this is an opinion and not a fact.
Opinions are always welcome, but facts are sacred.Do not twist the two.
Wewe Pundit, i think katika hili ni wewe unayetaka kutwist argument, hali umemwelewa kabisa Jim anachotaka kuongelea.Jim,
If there are tons and tons then it should be all the more easier for you to pick a few examples, shouldn't it?
I find your above quoted post unqualified, presumptious, oppressive, unsubstantiated and after all the cries to give evidence even obnoxious.
No evidence no right to accuse.
KAMA HUNA DINI NA WEWE NI MPAGANI KASOME SIASA. KAMA HUNA HOJA USISOME YASIO KUHUSU. PILIPILI ILIYO SHAMBA INAKUWASHIA NINI?