Dini Dini Dini Dini.....Sasa miye nimeanza kuboreka na hizi threads za dini, Je wewe?

Dini Dini Dini Dini.....Sasa miye nimeanza kuboreka na hizi threads za dini, Je wewe?

Je, Sehemu ya Dini/Imani Ifungwe au Isifungwe hapa JF?!

  • Isifungwe

    Votes: 14 43.8%
  • Ifungwe

    Votes: 8 25.0%
  • Irekebishwe

    Votes: 10 31.3%

  • Total voters
    32
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Maoni yangu kuhusu wazo la ndugu SteveD ni,
Kama ikifungwa itasaidiaje kupunguza wajinga Duniani.
Kwa hiyo nami nataka idumu milele kwa sababu inasaidia sana kutuelimisha sote.

Wenye busara wamesema kwanza Mwenye hekima hufunza kutoka na swali ya mpumbavu kisha mpumbavu hufunza kutoka na jibu la mwenye hekima.

Na Wahenga wetu wamesema Elimu ni maisha,si Vitabu.

Nami nasema maisha ni mchanganyika ya matamu na machungu.

Tuendelee hivyo kwa subra na Amani.

Kwa hiyo isifungwe kamwe.
 
Mkuu Admini mimi mimi naona hizi thread za Dini na Imani zifutwe then tuanzishe thred ya Utamaduni kwani zinapoteza Muda wa watu kwa kkulumbana na mila za waarabu na wayahudi.Sisi Dini zetu zimezikwa kama utamaduni wa Mtanznaia unavyozikwa na utamaduni wa kimarekani hivi sasa,Tukae tukijua kuwa hatuwezi kuendelea kama hatutakuwa na utamaduni wetu sasa hii Midini yenu mi naona inawazingua tu na kuwapotezea muda,naomba tuachane nayo. Mimi nilikuwa Mkatoliki then nikaamia usabato then Uislam na mwisho sasa nipo na dini ya Nkosi ambayo ni 100% yangu mwenyewe na mungu wangu,awe wa udongo haya,awe wa dhahabu ili nikipigika namuuza (si unaona mungu ananisaidia) haya.... ila sio hiyo midini yenu. MNABOA NA MALUMBANO YASIYO NA MWISHO

ONYO sitaki malumbano.
 
Ndugu HuXiang Ahsante sana kwa maoni yako nashukuru sana.
Nimekuelewa uliyosema.
Kama wewe unataka tuachane na midini tuanzishe utamaduni unafikiri mambo yatakuwa shwari zaidi kuliko ya hii Dini/Imani?.
Mimi sidhani itakuwa hivyo.Malumbano ni jambo la kwaida hapa Duniani sharti tu ifanyika kwa amani na upendo.
Sasa wewe mwanzo ulikuwa mkatoliki,kisha ukawa msabato halafu ukawa mwislamu sasa upo katika dini ya Nkosi,kwa hiyo mimi nakushauri fanya research ya kutafuta forums inayo shughulikia dini ya Nkosi.Hapa wewe ndiyo utapoteza muda wako si sisi waislamu wala wakristo.Nasema hivi kwa sababu
NI KAWAIDA MWENYE HEKIMA KWANZA HUFUNZA KUTOKA SWALI YA MJINGA KISHA MJINGA HUJIFUNZA KUTOKA NA JIBU LA MWENYE HEKIMA.

HAPA MALUMBANO YAPO LAKINI INAENDELEA BILA MAPIGANO.

KWA HIYO MARA NYINGINE USICHANGIE MAWAZO KAMA HAYA TENA.

TULIWAHI KUULIZWA NA WANA JF HII THREAD YA DINI/IMANI IFUNGWE AU ISIFUNGWE WOTE WAISLAMU NA WAKRISTO WALICHANGIA MAJIBU KUWA ISIFUNGWE.
NAMI NARUDIA TENA KUSEMA IDUMU HII THREAD YA DINI/IMANI.
NA ISIFUNGWE KABISA.
HII NI MAONI YANGU SASA NAWA ACHIA NDUGU ZANGU WENGINE WATOE YAO.
KUHUSU HIYO MAWAZO YAKO.

HAYA SHIME WAPENZI WA HII THREAD YA DINI/IMANI KAZI KWENU.
MNA MUUNGA NANI,
ANAYE SEMA IFUNGWE AU
ANAYE SEMA ISIFUNGWE?
 
Mkuu Admini mimi mimi naona hizi thread za Dini na Imani zifutwe then tuanzishe thred ya Utamaduni kwani zinapoteza Muda wa watu kwa kkulumbana na mila za waarabu na wayahudi.Sisi Dini zetu zimezikwa kama utamaduni wa Mtanznaia unavyozikwa na utamaduni wa kimarekani hivi sasa,Tukae tukijua kuwa hatuwezi kuendelea kama hatutakuwa na utamaduni wetu sasa hii Midini yenu mi naona inawazingua tu na kuwapotezea muda,naomba tuachane nayo. Mimi nilikuwa Mkatoliki then nikaamia usabato then Uislam na mwisho sasa nipo na dini ya Nkosi ambayo ni 100% yangu mwenyewe na mungu wangu,awe wa udongo haya,awe wa dhahabu ili nikipigika namuuza (si unaona mungu ananisaidia) haya.... ila sio hiyo midini yenu. MNABOA NA MALUMBANO YASIYO NA MWISHO

ONYO sitaki malumbano.

Dini zinazozingatia unoja wa Mungu ni mbili....dini ya Kiyahudi(Judaism) na dini ya Kiislamu.hapo ukitaja dini ya Kikristo unaingia katika Trinity yaani utatu mtakatifu.Katika dini hizi tatu kuna waumini mabilioni ya watu ambao huwezi kuwa neglect kwa sababu ni tayari wameshajiweka katika mataifa mbalimbali.Mijadala ipo siku zote na huwezi kuikimbia.Kama unakuwa bored dawa ni kuacha kusoma mambo ya dini kwa kuwa hulazimishwi na mtu yeyote kushiriki katika malumbano.
 
Mkuu Admini mimi mimi naona hizi thread za Dini na Imani zifutwe then tuanzishe thred ya Utamaduni kwani zinapoteza Muda wa watu kwa kkulumbana na mila za waarabu na wayahudi.Sisi Dini zetu zimezikwa kama utamaduni wa Mtanznaia unavyozikwa na utamaduni wa kimarekani hivi sasa,Tukae tukijua kuwa hatuwezi kuendelea kama hatutakuwa na utamaduni wetu sasa hii Midini yenu mi naona inawazingua tu na kuwapotezea muda,naomba tuachane nayo. Mimi nilikuwa Mkatoliki then nikaamia usabato then Uislam na mwisho sasa nipo na dini ya Nkosi ambayo ni 100% yangu mwenyewe na mungu wangu,awe wa udongo haya,awe wa dhahabu ili nikipigika namuuza (si unaona mungu ananisaidia) haya.... ila sio hiyo midini yenu. MNABOA NA MALUMBANO YASIYO NA MWISHO

ONYO sitaki malumbano.

Hii fried Chinese meat imetokea wapi hii? Kwanza ume register leo alafu unaleta zako za kuletwa hapa. Rudi kwenye siasa huko huku usiingie kama kunakuboa. Umefungwa kamba usome?

Sasa najua kwanini China inazuia freedom of expression. Kumbe wachina ndivyo walivyo wakipewa uhuru wa kufungua midomo yao.
 
ila jamaa ana timing,zilezile enzi za utotoni za kuficha ubuyu na pipi,
 
Wana JF, hivi imekuwaje, kila nikiamka threads za dini zinazidi kumiminika tu... na ingekuwa bora kweli kama hizi threads zingekuwa si za kukashifiana katika mambo haya ya imani kama inavyoonekana hivi sasa, maana kuna wengine katika mambo haya wanamisimamo mikali usiombe, kujadiliana nao ni kama kupoteza muda haswaa. Hivi sasa, mengi ninayo yasoma ni kuwa dini hii bora zaidi ya hii, dini hii ina mtume bora kuliko dini ile, sherehe hii haina maana kuliko sherehe ile, tukio hilo ni la uongo na hili ni la kweli... mimi nimeanza kuchoshwa na haya mambo. Hivi hawa watu ni WAUMINI wa dini kweli ambazo nyingi naamini zinataka uvumilivu, kusameheana na kufundishana yaliyo mema?!

Unajua nini, kama dini ndizo ziko hivi mimi bora nirudi kwenye dini za makwetu tu, dini za Kibantu kabla Afrika yetu haija vamiwa na wageni na kututawala. Mfano wa dini zile za akina Kinjeketile na akina Mwanamalundi... maana hizi ambazo naziona hazina asili ya Kibantu zinazidi kuandamana kila moja zidi ya nyingine katika kutafuta IMANI YA KWELI.

Kwa kweli ningependa kabisa forum ya dini iwepo kwa ajili ya kubadilishana mawaidha, kutafakari na kupashana habari kuhusiana na imani tulizo nazo, na wale wasio amini kitu basi kusoma habari za imani hizi na wao kuwa na maoni yao BILA KUTUKANANA.

Lakini kwa sasa hiyo sehemu ya dini imebadilika ghafla na kufanywa uwanja wa kugombania waumini. Kwa kweli miye naona hili si jema hapa JF. Hivyo basi naomba ushauri wenu kwa kupiga kura;

JE, SEHEMU YA DINI IFUNGWE ISIFUNGWE au Ifanyiwe marekebisho?!

Ukichagua IREKEBISHWE, naomba uendelee kutoa mawazo yako kwenye thread hii namna ya kufanya marekebisho hayo.

Nitamwomba Admin atengeneze Poll, ili tupige kura zetu kama hili linafaa.

Naomba kutoa hoja. Ahsanteni.

SteveD.

KAMA HUNA DINI NA WEWE NI MPAGANI KASOME SIASA. KAMA HUNA HOJA USISOME YASIO KUHUSU. PILIPILI ILIYO SHAMBA INAKUWASHIA NINI?
 
Jim,

Ni vizuri kusema kwa niaba yako mwenyewe.Unless you provide specifics this is an opinion and not a fact.

Opinions are always welcome, but facts are sacred.Do not twist the two.

Jim,

If there are tons and tons then it should be all the more easier for you to pick a few examples, shouldn't it?

I find your above quoted post unqualified, presumptious, oppressive, unsubstantiated and after all the cries to give evidence even obnoxious.

No evidence no right to accuse.
Wewe Pundit, i think katika hili ni wewe unayetaka kutwist argument, hali umemwelewa kabisa Jim anachotaka kuongelea.

SteveD.
 
Waumini wanazidi kuchachamaa........yangu macho kwenye hizi threads, ngoja tuache wapeane mafunzo ya kiimani ya kuwa karibu na Mwenye Enzi kama wengi wao wanavyodai ....
 
ebwana mie nina ombi badala ya hii sehem ya dini, naomba ianzishwe sehem ya HISTORIA watu wajifunze historia yetu tulipotoka na watu gani walikuwepo,,,ila hiyo sehem ya dini kinachofuata ni watu kurushiana ngumi
 
Hii sehemu ya dini inaweza kendelea kuwepo ila itafutiwe specific thread ili kwa wanaoipenda waifuate huko iliko! kuichanganya na threads nyingine inakera kiasi.
 
KAMA HUNA DINI NA WEWE NI MPAGANI KASOME SIASA. KAMA HUNA HOJA USISOME YASIO KUHUSU. PILIPILI ILIYO SHAMBA INAKUWASHIA NINI?

Hudhani kwamba hayo malumbano ya kidini yanaweza kusambaa kutoka huko shamba yakaja kutuwasha mjini na tukamwaga damu?
 
napinga hayo matokeo aise....ni ya uongo maana wengi tunaboreka na hizo thread za dini..ngoja watu waione hii topic vizuri ndio utapata majibu ya kupigia kura
 
Ni wazo tu natoa, au ni maoni yangu......

Mimi kwa upande wangu naona hii thread ya dini iondelewe humu JF, Ni kweli humu ndani kila mtu yupo huru kutuma ujumbe wake anaoona unafaa, lakini sasa haya masuala ya dini naona kama yanaanza kwenda mbali sana. Mimi sijawahi kuwa shabiki wa dini yoyote humu JF ila huwa nasoma tu. Sasa tunaporuhusu baadhi ya watu kuanza kukushifu dini za wenzao na sisi tunanyamaza kimya mwisho wake utakuja kuwa mbaya.... nadhani kila mtu anajua matatizo ya kidini yanavyokuwaga

Huu ndio ushauri wangu, naomba waungwana wana JF na nyinyi mtoe mchango wenu kuhusu hili suala.

Nawakilisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom