Dini haina mchango wowote katika ubora wa siasa na uongozi wa nchi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !

Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
 
Kwenye Nchi za kiarabu/kiisilamu Nchi za Ghuba ndio zinaongoza kuwa na dini na ndio nchi pia zenye corruption level ndogo.

Mtu kuwa muisilamu/Mkristo haimaanishi Automatic anafuata Sheria za kiislamu/Kikristo.

Na dini husaidia kiasi kikubwa kutoa umasikini zikifuatiliwa effectively.
 
Dini ni scam tu
 
Hufahamu kwamba utajiri WOTE wa familia zote za Kifalme za uarabuni na machawa wao unatokana na ufisadi wa mafuta na gesi kutoka nchi zao??
 
Hizo nchi zina low level of corruption its a fact, index zote za rushwa Duniani zinaonesha hivyo.

Utajiri wa Familia za kifalme upo kwenye sheria, kama sheria inaonesha Familia inamiliki hayo mafuta tumia sheria ya nchi husika ku judge kwamba ni ufisadi ama Lah, kutumia sheria ya Tanzania ama ya Uingereza kujudge tatizo la Saudia ni wewe mwenye tatizo na sio wao.
 
Hii dini ya mwamposa na suguye au din gn wazngumzia au bakwata?
 
Hizo nchi zina low level of corruption its a fact, index zote za rushwa Duniani zinaonesha hivyo.

Utajiri wa Familia za kifalme upo kwenye sheria, kama sheria inaonesha Familia inamiliki hayo mafuta tumia sheria ya nchi husika ku judge kwamba ni ufisadi ama Lah, kutumia sheria ya Tanzania ama ya Uingereza kujudge tatizo la Saudia ni wewe mwenye tatizo na sio wao.
20250413_074118.jpg
 
Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !

Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.

UNajua tofauti ya Dini na Imani?
 
Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !

Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Dini inakuwa kila siku. Religion grows up like a child.
Dini inakuwa kama sayansi.
Physics ya leo siyo physics ya miaka mia moja iliyopita.
Kwa hiyo kama kuna changamoto,Dini itatafuta suluhu.
As they say,Dini ina faida sana.
Lakini Dini ZOTE zimeshindwa na Dini mpya inahitajika.
Na Mungu atatuletea hiyo Dini mpya as He has done throughout the centuries.
 
Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !

Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Dini ni kichaka cha udanganyifu na unafiki wanachotumia watawala. Dini inatumika na watawala kama njia ya kufifisha na kupumbaza wananchi.
 
Hapo kuna UAE, Qatar (Na Saudia imefungana na Qatar around 25)

Kuna Nchi kibao za kiarabu zinazo fuata mifumo ya West kama Vile Za North Africa ama Levant, why hazipo? Why zinazo fuata mifumo ya kiisilamu ndio zipo kwenye list ya Nchi zinazo fanya Vizuri?
Kuna mahali popote nilipotaja Uislamu?? Kwamba ikitajwa dini tu wewe moja kwa moja kwako ni Uislamu?!
Nchi gani za North Africa zinazofuata mifumo ya West? Hakuna nchi za West zenye viongozi wafia dini ya Ukristo??
 
Hivi ndivyo wenye AKILI tunavyo sema KAMA UNADHANI MWAMPOSA NI MTUME BASI HATA MUDI BOY NI MTUME na kama UNADHANI MWAMPOSA SIYO MTUME BASI NA MUDI BOY PIA SIYO MTUME kwa maana hakuna tofauti ya muhammad na mwamposa ni UPUMBAVU MTUPU
 
Kuna mahali popote nilipotaja Uislamu?? Kwamba ikitajwa dini tu wewe moja kwa moja kwako ni Uislamu?!
Nchi gani za North Africa zinazofuata mifumo ya West? Hakuna nchi za West zenye viongozi wafia dini ya Ukristo??
Comprehension kijana ni ngumu. Umetaja dini, mimi kutumia dini yoyote naweza kutoa mfano.

Nchi za North Africa nyingi tu kama Algeria, Egpty, Tunisia etc zinafuata mifumo ya West. Nchi kama Tunisia inasifika Dunia nzima kama Liberal Arabs. Why hawapo kwenye data kama hizo?

Jibu unafahamu fika Dini inasaidia kikubwa mno.

Niliwahi kupa mifano mingi tu ya Mabilionea wa Saudia kujifilisi kwa hiyari kusaidia watu wasio na kipato.

Mfano Al Rajhi, ukitoa Royals wa Saudia yeye ndio alikua Tajiri zaidi Hapo na ukwasi zaidi ya $16B usd, katoa sadaka hela yote na kujitoa kwenye ubilionea,

Mtu asie na dini hawezi acha utajiri wake kizembe, atakuletea maelfu ya sababu wakati watu wanakufa na njaa.

Si tu watu Binafsi hata serikali zote za kiisilamu zina Kitu kinaitwa "byt Al mal" ambapo hela zinakusanywa toka kwa matajiri wote wanaotakiwa kutoa zaka na kuwa distributed kwa masikini. Ni lazima na sio Hiari, ndio maana unakuta Nchi zenye mifumo hii Wameuaga umasikini,
 
Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !

Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Hizo dini zenyewe zinafuatwa kweli!?..hawazini,hawalewi,hawalogi!?
 
Back
Top Bottom