Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
YODA kinachokuuma ww kuona kiongozi wa Kisiasa yupo na Viongozi wa Dini Sasa unataka kuwafitini Viongozi wa Dini !!!!
waekwe pembeni awana umuimu wala maana yoyote !!!!!
Ww jamaaa utakuwa mzalendo wa upinzani !???
lkn mm mzelendo wa zidumu fikra za mwalimu !!!
nijuavyo Aman yetu inawaitaji Viongozi wa Dini zote kubwa na kiongozi mkuu wa kiSiasa yani Rais kuwa pamoja !!!
uleta utulivu kwenye Jamiii zetu Ufanya Jamiii kusonga mbele kujitafutia maisha yao na ivyo kualakisha maendeleo yao na nchi kwa ujumla wakiwa awana wasiwasi wowote!!!!
Sababu kuuu Jamiii zetu %80 Zinaamini DINI Tofaut na Nchi zengine kama Ulaya !!!
Nadhan seem pekeee Viongoz wa Dini Wanapuuzwa ni ULAYA Sababu Wananchi wao wengi awapo tena kuamini Dini!!!
. Au rohooo..
mkumbuke Wasomi wengi awaamini ktk mwili wa Binadamu kuwepo kitu kinaitwa rohoo !!!
Ukiwaambia kuusu rohooo Watakuuliza iyo rohoo inakaaa wapi kwenye mwili !!!!!
ktk Muktaza uo Usitegemee Kiongozi wa Dini kueshimiwa na Kiongozi wa Kisiasa kama Rais !!!
mana kiongozi wa Dini Anadai kuchunga Rohoo sasa ikiwa 75% Wanachi Awaamini Uwepo wa iyo Rohooo !!!!
apo kiongozi w Dini Saman yyte ana uko ULAYA !!!!
zile Sikuu zilikuwa za Dini lkn wao leo Wanaziita za Utamaduni Wanakwambia Wanasheerekea Sikuu za Utamaduni!!!!!