Kwenye Nchi za kiarabu/kiisilamu Nchi za Ghuba ndio zinaongoza kuwa na dini na ndio nchi pia zenye corruption level ndogo.Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Dini ni scam tuKama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Hufahamu kwamba utajiri WOTE wa familia zote za Kifalme za uarabuni na machawa wao unatokana na ufisadi wa mafuta na gesi kutoka nchi zao??Kwenye Nchi za kiarabu/kiisilamu Nchi za Ghuba ndio zinaongoza kuwa na dini na ndio nchi pia zenye corruption level ndogo.
Mtu kuwa muisilamu/Mkristo haimaanishi Automatic anafuata Sheria za kiislamu/Kikristo.
Na dini husaidia kiasi kikubwa kutoa umasikini zikifuatiliwa effectively.
Hizo nchi zina low level of corruption its a fact, index zote za rushwa Duniani zinaonesha hivyo.Hufahamu kwamba utajiri WOTE wa familia zote za Kifalme za uarabuni na machawa wao unatokana na ufisadi wa mafuta na gesi kutoka nchi zao??
Hizo nchi zina low level of corruption its a fact, index zote za rushwa Duniani zinaonesha hivyo.
Utajiri wa Familia za kifalme upo kwenye sheria, kama sheria inaonesha Familia inamiliki hayo mafuta tumia sheria ya nchi husika ku judge kwamba ni ufisadi ama Lah, kutumia sheria ya Tanzania ama ya Uingereza kujudge tatizo la Saudia ni wewe mwenye tatizo na sio wao.
Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Hapo kuna UAE, Qatar (Na Saudia imefungana na Qatar around 25)
Dini inakuwa kila siku. Religion grows up like a child.Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Dini ni kichaka cha udanganyifu na unafiki wanachotumia watawala. Dini inatumika na watawala kama njia ya kufifisha na kupumbaza wananchi.Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Kuna mahali popote nilipotaja Uislamu?? Kwamba ikitajwa dini tu wewe moja kwa moja kwako ni Uislamu?!Hapo kuna UAE, Qatar (Na Saudia imefungana na Qatar around 25)
Kuna Nchi kibao za kiarabu zinazo fuata mifumo ya West kama Vile Za North Africa ama Levant, why hazipo? Why zinazo fuata mifumo ya kiisilamu ndio zipo kwenye list ya Nchi zinazo fanya Vizuri?
China wa dini yao ww acha hizi za mapokeoMbona China inatawalika?
Comprehension kijana ni ngumu. Umetaja dini, mimi kutumia dini yoyote naweza kutoa mfano.Kuna mahali popote nilipotaja Uislamu?? Kwamba ikitajwa dini tu wewe moja kwa moja kwako ni Uislamu?!
Nchi gani za North Africa zinazofuata mifumo ya West? Hakuna nchi za West zenye viongozi wafia dini ya Ukristo??
Hizo dini zenyewe zinafuatwa kweli!?..hawazini,hawalewi,hawalogi!?Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.