Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Kama umeshindwa kutajirika usikasirikie matajiri kwa kuwaita mafisadi wa mafuta.Hufahamu kwamba utajiri WOTE wa familia zote za Kifalme za uarabuni na machawa wao unatokana na ufisadi wa mafuta na gesi kutoka nchi zao??
Nchi zote tatu ulizozitaja hapa zinaongozwa Kiislamu de facto, hata hivyo bado ni nchi bora sana kuliko nyingi zinazoongozwa Kiislamu de jure kama Afghanistan, Iran, Pakistan, Bangladesh n.kComprehension kijana ni ngumu. Umetaja dini, mimi kutumia dini yoyote naweza kutoa mfano.
Nchi za North Africa nyingi tu kama Algeria, Egpty, Tunisia etc zinafuata mifumo ya West. Nchi kama Tunisia inasifika Dunia nzima kama Liberal Arabs. Why hawapo kwenye data kama hizo?
Jibu unafahamu fika Dini inasaidia kikubwa mno.
Niliwahi kupa mifano mingi tu ya Mabilionea wa Saudia kujifilisi kwa hiyari kusaidia watu wasio na kipato.
Mfano Al Rajhi, ukitoa Royals wa Saudia yeye ndio alikua Tajiri zaidi Hapo na ukwasi zaidi ya $16B usd, katoa sadaka hela yote na kujitoa kwenye ubilionea,
Mtu asie na dini hawezi acha utajiri wake kizembe, atakuletea maelfu ya sababu wakati watu wanakufa na njaa.
Si tu watu Binafsi hata serikali zote za kiisilamu zina Kitu kinaitwa "byt Al mal" ambapo hela zinakusanywa toka kwa matajiri wote wanaotakiwa kutoa zaka na kuwa distributed kwa masikini. Ni lazima na sio Hiari, ndio maana unakuta Nchi zenye mifumo hii Wameuaga umasikini,
Dini ya kibudhaDini yao Wachina ni ipi?
Kwenye Nchi za kiarabu/kiisilamu Nchi za Ghuba ndio zinaongoza kuwa na dini na ndio nchi pia zenye corruption level ndogo.
Mtu kuwa muisilamu/Mkristo haimaanishi Automatic anafuata Sheria za kiislamu/Kikristo.
Na dini husaidia kiasi kikubwa kutoa umasikini zikifuatiliwa effectively.
Nimekuuliza hawazini, hawalewi, hawalogi,hawadhulumu?..kama hawafuati dini kwenye hayo unataraji wafuate kwenye uongozi!?Zinafuatwa, kila siku watu wako makanisani, kwenye mikutano, misa, misikitini, hija, umra, mashindano ya kukariri quran n.k
Chinese folks religion? Kama confucianism na Taoism.Dini yao Wachina ni ipi?
Uzi wangu hauhusiani na jamii kuwa na nguvu bali utawala unaoheshimu haki za watu na kutokuwepo ufisadi/rushwa.Yoda hajui kuwa kwa sasa jamii za kiarabu zimebaki na nguvu kutokana na kufuata Sheria za kiislam.
Magharibi ni mataifa ambayo wamekata tamaa ila wanajaribu kujitutumua tuu.
Dini ya kiislam na kiyahudi zinakataa rushwa.Uzi wangu hauhusiani na jamii kuwa na nguvu bali utawala unaoheshimu haki za watu na kutokuwepo ufisadi/rushwa.
Pakistan, Bangladesh etc haziongozwi kiislamu, same kwa Tunisia, Egpty na Algeria, kasome vizuri madesa yako.Nchi zote tatu ulizozitaja hapa zinaongozwa Kiislamu de facto, hata hivyo bado ni nchi bora sana kuliko nyingi zinazoongozwa Kiislamu de jure kama Afghanistan, Iran, Pakistan, Bangladesh n.k
YODA kinachokuuma ww kuona kiongozi wa Kisiasa yupo na Viongozi wa Dini Sasa unataka kuwafitini Viongozi wa Dini !!!!Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Hata viongozi wa kisiasa waliotanguliza dini mbele wanazidiwa kwa mbali sana kwa ubora wa uongozi na wale wasio na dini au ambao dini wameziweka nyuma.YODA kinachokuuma ww kuona kiongozi wa Kisiasa yupo na Viongozi wa Dini Sasa unataka kuwafitini Viongozi wa Dini !!!!
waekwe pembeni awana umuimu wala maana yoyote !!!!!
Ww jamaaa utakuwa mzalendo wa upinzani !???
lkn mm mzelendo wa zidumu fikra za mwalimu !!!
nijuavyo Aman yetu inawaitaji Viongozi wa Dini zote kubwa na kiongozi mkuu wa kiSiasa yani Rais kuwa pamoja !!!
uleta utulivu kwenye Jamiii zetu Ufanya Jamiii kusonga mbele kujitafutia maisha yao na ivyo kualakisha maendeleo yao na nchi kwa ujumla wakiwa awana wasiwasi wowote!!!!
Sababu kuuu Jamiii zetu %80 Zinaamini DINI Tofaut na Nchi zengine kama Ulaya !!!
Nadhan seem pekeee Viongoz wa Dini Wanapuuzwa ni ULAYA Sababu Wananchi wao wengi awapo tena kuamini Dini!!!
. Au rohooo..
mkumbuke Wasomi wengi awaamini ktk mwili wa Binadamu kuwepo kitu kinaitwa rohoo !!!
Ukiwaambia kuusu rohooo Watakuuliza iyo rohoo inakaaa wapi kwenye mwili !!!!!
ktk Muktaza uo Usitegemee Kiongozi wa Dini kueshimiwa na Kiongozi wa Kisiasa kama Rais !!!
mana kiongozi wa Dini Anadai kuchunga Rohoo sasa ikiwa 75% Wanachi Awaamini Uwepo wa iyo Rohooo !!!!
apo kiongozi w Dini Saman yyte ana uko ULAYA !!!!
zile Sikuu zilikuwa za Dini lkn wao leo Wanaziita za Utamaduni Wanakwambia Wanasheerekea Sikuu za Utamaduni!!!!!
Kabisa lo